Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Then the 35GB monthly for 30,000, ya Tigo inakufaa.

Or the 30GB + free surfing after the 30GBs are out, for 50,000 ya Vodacom.
Nilikuwa nimepanga July
Niweke tigo postpaid ya elf 15, gb 15
Kisha voda elf 30, dk, sms na gb 10.3
Nione kama nitatoboa mwezi 😒
 
Nimescrow hadi mwisho sijaona jinsi ya kujiunga na post paid ya tigo au voda anae jua anielekeze nijiunge hii huduma
 
Mfumo wa malipo ukoje
JINSI YA KUJIUNGA

Piga *150*01#
➡️Kisha chagua no4
➡️Kisha chagua no 2 (kupata majina)
➡️Kisha chagua no 6 (tigo business)
➡️Kisha chagua no 2 (security deposit)
➡️Kisha chagua no1
➡️Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
➡️Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat!
➡️Kisha weka no ya siri kudhibitisha!

_Ukikamilisha nifahamishe nikusajili uanze kupata huduma!
 
Nimescrow hadi mwisho sijaona jinsi ya kujiunga na post paid ya tigo au voda anae jua anielekeze nijiunge hii huduma
Mimi hapa,JINSI YA KUJIUNGA

Piga *150*01#
➡️Kisha chagua no4
➡️Kisha chagua no 2 (kupata majina)
➡️Kisha chagua no 6 (tigo business)
➡️Kisha chagua no 2 (security deposit)
➡️Kisha chagua no1
➡️Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
➡️Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat!
➡️Kisha weka no ya siri kudhibitisha!

Ukikamilisha nifahamishe !
 
Mimi hapa,JINSI YA KUJIUNGA

Piga *150*01#
[emoji3591]Kisha chagua no4
[emoji3591]Kisha chagua no 2 (kupata majina)
[emoji3591]Kisha chagua no 6 (tigo business)
[emoji3591]Kisha chagua no 2 (security deposit)
[emoji3591]Kisha chagua no1
[emoji3591]Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
[emoji3591]Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat!
[emoji3591]Kisha weka no ya siri kudhibitisha!

Ukikamilisha nifahamishe !
Aya poa ngoja niweke salio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JINSI YA KUJIUNGA

Piga *150*01#
[emoji3591]Kisha chagua no4
[emoji3591]Kisha chagua no 2 (kupata majina)
[emoji3591]Kisha chagua no 6 (tigo business)
[emoji3591]Kisha chagua no 2 (security deposit)
[emoji3591]Kisha chagua no1
[emoji3591]Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
[emoji3591]Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat!
[emoji3591]Kisha weka no ya siri kudhibitisha!

_Ukikamilisha nifahamishe nikusajili uanze kupata huduma!
Gharama za usajili ni bei gani?
 
Nduguyangu mimi naunganisha hizi huduma, asa wewe unabisha na hufahamu huduma kama unafaham sio kiundani ndiomana hujui kua kuna kuhiondoa, kama huamini niletee mteja ambae yupo tayari kwenye huduma tumtoe, hapo nadhan ndo utaamini
Nitoe mimi
 
Hizi hapa, hiyo 15k ni gharama ya kukuunganisha
 
Attachments

  • Screenshot_20230629-144313.png
    Screenshot_20230629-144313.png
    103.8 KB · Views: 22
Back
Top Bottom