Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Bado umemuacha njiani hapo no mbili ..anauliza hiyo 15000 atalipa Kila mwez kwa maana kwamba kifurushi kina expire Kila Baada ya mwez au kifurushi ni unlimited kwamba inategemea na matumizi ya mtu
Malipo kila mwezi ni kabla ya Tar.12+ ikizidi unaweza kufungiwa huduma ya kupiga + internet Hadi ulipie,ila ukipigiwa Simu itaingia bila shida
 
Umeeleza sawa ila sio kweliii 100%. Unaingiziwa huduma kila mwezi na utahitajika ulipie kila mwezi siku yoyote. Na unaweza kupitisha miezi miwili bila kulipa ikizid apo ndio utazuiliwa kupigia watu ila pia ukishalipa deni unaendelea na huduma kawaida. Pia usipoitaka huduma unamwambia aliekuunga anakutoa so haikufungi asee
anakutoaje wakti tayari ushaingia mkataba ndugu na ni mwaka mzima
 
Bado umemuacha njiani hapo no mbili ..anauliza hiyo 15000 atalipa Kila mwez kwa maana kwamba kifurushi kina expire Kila Baada ya mwez au kifurushi ni unlimited kwamba inategemea na matumizi ya mtu
Maelezo yametolewa mazuri sana hapo juu mkuu
 
Hakuna post paid ya voda?🥹
Ipo. Call customer care watakuunga na agent wa postpaid.

Vifurushi vyao vya mobile internet vinaanzia 50,000 per month.

Unapata G30 for 1 month at the rate of 2-5MB/s. Ukizimaliza hizo GB before the 30 days period wanakupa free browsing mpaka siku 30 ziishe. (Ila at a lower surfing speed.)
 
Hakuna vya 30,000 per month
 
Wakuu, kama mtu unamatumizi daily ya mobile internet, hivi vifurushi vya postpaid na SME ni msaada mkubwa sana.

Hivi vifurushi vya Postpaid (Tigo & Vodacom) pamoja na SME (Airtel) vina UNAFUU mkubwa mno.

Look at the context.
Kwenye hivi vifurushi unauziwa 1GB kwa bei ya 857/= mpaka 1666/= tu.

Kununua vifurushi kawaida unauziwa 1GB kwa 2000/= au zaidi (kulingana na muda wa kifurushi.

Kingine hivi vifurushi wanakupa muda wa zaidi ya sik 10 kulipa taratibu kiasi chao baada ya mzunguki mpya kuanza (tarehe 1 ya kila mwezi).

Mimi siuzi hivi vifurushi ila ninatumia for 3 years now, and I will recommend it to anyone.

Wasiliana na reliable agents au huduma kwa wateja wa mtandao unaotumia ili kupata maelezo ya hizi packages.
 
Voda wana postpaid?? Mbona haijazagaa kitaa kama tigo post paid

Depal
 
Back
Top Bottom