1 to 10
Senior Member
- Apr 24, 2020
- 155
- 210
Si tugawiane haya internet kabla hawajayakataMkuu hii inapiga kazi sana
Sent from my SM-T225N using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si tugawiane haya internet kabla hawajayakataMkuu hii inapiga kazi sana
Tigo ndio tigo postpaidMtandao gni? Au tgo
Ndio mkuu ni tigo postpaid na hakuna kigezo kinachoweza kukufanya usipate hii huduma ukihitaji na ukilipiaWeka wazi kuwa ni Tigo PostPaid ! ambapo vigezo na masharti ya kujiunga huzingatiwa.
Nikijiunga... Ni lazima kila mwezi ninunue kwa miezi 24?!Ndio mkuu ni tigo postpaid na hakuna kigezo kinachoweza kukufanya usipate hii huduma ukihitaji na ukilipia
Kwahiyo mkuu unaunganisha bila kutozaNdio mkuu ni tigo postpaid na hakuna kigezo kinachoweza kukufanya usipate hii huduma ukihitaji na ukilipia
Ukishalipia hiyo unaanza kupata gb the mwezi unaofuata tarehe moja unaingiziwa gb then unalipa siku yoyote ya mwezi au unaweza kulipa kidogo kidogo, kwahiyo ww kila tarehe moja utakua unapokea GB then malipo unafanya siku yoyote ukitaka!Mkuu em fafanua hii kidg hii 15000 ni ada ya kuungwa au ndio malipo ya hizo gb? Na vip utakuwa unajiunga kila mwez amount hyo au hy 15000 ukishakatwa ndio ntolee mpaka miezi 24 ikatike?
Ndio ila ukitaka kuondolewa huduma utaniambia au utafika duka la tigoNikijiunga... Ni lazima kila mwezi ninunue kwa miezi 24?!
Na vipi kama nataka kupanda au ku upgrade kifurushi changu? Mfano nina cha gb15 kwa 15k,sasa nataka nipate cha 15k gb 10 na dk 400.. Vipi inawezekana hii??Ukishalipia hiyo unaanza kupata gb the mwezi unaofuata tarehe moja unaingiziwa gb then unalipa siku yoyote ya mwezi au unaweza kulipa kidogo kidogo, kwahiyo ww kila tarehe moja utakua unapokea GB then malipo unafanya siku yoyote ukitaka!
Ndio ila ukitaka kuondolewa huduma utaniambia au utafika duka la tigo
Inawezekana unaongezea hela iliyobaki kufikia kifurushi cha juu yake then unapewa kifurushi hicho. Mfano kama ulikiunga cha 15k ukitaka upandishwe cha 40k , utalipia 25k then unapandishwaNa vipi kama nataka kupanda au ku upgrade kifurushi changu? Mfano nina cha gb15 kwa 15k,sasa nataka nipate cha 15k gb 10 na dk 400.. Vipi inawezekana hii??
Sssa mkuu umeeleweka maana post yako ilikuwa ajakaa sawa kama washikaji wa tuma kwenye number hiiInawezekana unaongezea hela iliyobaki kufikia kifurushi cha juu yake then unapewa kifurushi hicho. Mfano kama ulikiunga cha 15k ukitaka upandishwe cha 40k , utalipia 25k then unapandishwa
Hii huduma uhakika ukipiga 100 watakuambia huduma ipo ufike duka la tigoSssa mkuu umeeleweka maana post yako ilikuwa ajakaa sawa kama washikaji wa tuma kwenye number hii
Eeeeh jmniTigo ndio tigo postpaid
ya kijinga tu maana unajifunga wao wanatuma tu mb usipolipia huo mwezi wanafunga line yko huwez kupga wala kutuma textHii huduma uhakika ukipiga 100 watakuambia huduma ipo ufike duka la tigo
Duh! so ukitaka waifungue inakuajeya kijinga tu maana unajifunga wao wanatuma tu mb usipolipia huo mwezi wanafunga line yko huwez kupga wala kutuma text
Umeeleza sawa ila sio kweliii 100%. Unaingiziwa huduma kila mwezi na utahitajika ulipie kila mwezi siku yoyote. Na unaweza kupitisha miezi miwili bila kulipa ikizid apo ndio utazuiliwa kupigia watu ila pia ukishalipa deni unaendelea na huduma kawaida. Pia usipoitaka huduma unamwambia aliekuunga anakutoa so haikufungi aseeya kijinga tu maana unajifunga wao wanatuma tu mb usipolipia huo mwezi wanafunga line yko huwez kupga wala kutuma text
Pia ukisema huduma ni ya kijinga utakua hujafikiria kwa usahihi kwasababu kama unatumia mfano kwa siku GB 1 so kwa mwezi utakua umetumia GB 30 ambazo ukinunua kwa GB 1 sh 2100 utakua kwa mwezi umetumia sh 63000, wakati huo huku kwenye postpaid ungelipa 30000 na ungepewa GB 35 Na unaruhusiwa kuilipa kidogo kidogo pia.ya kijinga tu maana unajifunga wao wanatuma tu mb usipolipia huo mwezi wanafunga line yko huwez kupga wala kutuma text
Ukilipa tuu unaendelea na huduma mkuu , pia ukitaka usitisjiwe huduma unawasiliana tuu na aliekuunganisha so haimfosi mtu kama mdau anavyosema mm nampingaDuh! so ukitaka waifungue inakuaje
Mfumo wa malipo ukojeUkilipa tuu unaendelea na huduma mkuu , pia ukitaka usitisjiwe huduma unawasiliana tuu na aliekuunganisha so haimfosi mtu kama mdau anavyosema mm nampinga
Bado umemuacha njiani hapo no mbili ..anauliza hiyo 15000 atalipa Kila mwez kwa maana kwamba kifurushi kina expire Kila Baada ya mwez au kifurushi ni unlimited kwamba inategemea na matumizi ya mtuNimsaidie
1. Malipo ya gb
2. Utakuwa unalipia kila ukitaka kujiunga