Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

TIGO TIGO TIGO
Natoa OFA na HUDUMA
Zifuatazo

1. OFA, Naunga Gb 1 kwa 1000 inadumu kwa siku 3. Unaungwa mara moja tu. hii ni OFA ya mara moja Tu.
Malipo Baada ya Kazi.

Piga/Whatsapp: 0710535327

2. TIGO business.
Kama inavyoonekan hapo chini..
Ni mfumo ambao unakuwa unalipia bili kila mwezi.. unachagua Aina ya kifurushi nakuingiza kwenye mfumo BUUURE!!!

Piga/Whatsapp: 0710535327
View attachment 2577064
Habari, Tafadhari naomba hili swala tulikamilishe, imekuwa muda sasa.
=
Update 09:57AM | Ahsante kwa ushirikiano wako.
 
Wazee wa kitonga pakua apps ya "my halo" ipo play store utapata mbs 1024 bure

Sio halopesa ni my halo.

Source: halotel Tanzania facebook
 
Wazee wa kitonga pakua apps ya "my halo" ipo play store utapata mbs 1024 bure

Sio halopesa ni my halo.

Source: halotel Tanzania facebook
Mkuu mbona hii walishatoa toka zamani na watu wakapakua wakajipatia au wameanza tena
 
Uki download app ya my airtel unakutana na Gb za kukufanya urudi mtandaoni kwa wiki kadhaaView attachment 2632974
Mimi mbona nimeshusha app na sijaipata hii offer aisee naona tu bando langu la jero ndio linasomeka
Screenshot_2023-06-20-09-52-36-754_com.airtel.africa.selfcare-edit.jpg
 
Wakuu kama kuna mtu tayari kapakua myhalo anirushie basi app, maana kwangu kila nikijaribu install inagoma, cha ajabu app zingine eti zinakubali sijui kuna changamoto gani hapa
 
Back
Top Bottom