Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ume tisha mkuu[emoji91][emoji91] na halotel app yao walkua wana toa Mb sija jua kama ni hadi leo
Zikiisha unarudi na VPN ya HA TUNNEL PLUS kwa simcard ya airtel hio hio

hapa huhitaji kuweka HAT FILE YOYOTE.. IGILIZIA SETTING KAMA UNAVYOONA.

Daily limit ni 300 mb per day

Screenshot_20230524-104507.png
 
HALOTEL CUG MWEZI MZIMA


Wateja kuanzia watano

16,000
GB 6
DAKIKA 550
SMS 600


26,000
GB 15
DAKIKA 1100
SMS 1000






36,000
GB 23
DAKIKA 1400
SMS 1000


46,000
GB 31
DAKIKA 2000
SMS 1000


56,000
GB 40
DAKIKA 3000
SMS 1000
Nifafanulie hii naipataje
 
Back
Top Bottom