Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu em fafanua hii kidg hii 15000 ni ada ya kuungwa au ndio malipo ya hizo gb? Na vip utakuwa unajiunga kila mwez amount hyo au hy 15000 ukishakatwa ndio ntolee mpaka miezi 24 ikatike?
Ukishalipia hiyo unaanza kupata gb the mwezi unaofuata tarehe moja unaingiziwa gb then unalipa siku yoyote ya mwezi au unaweza kulipa kidogo kidogo, kwahiyo ww kila tarehe moja utakua unapokea GB then malipo unafanya siku yoyote ukitaka!
Nikijiunga... Ni lazima kila mwezi ninunue kwa miezi 24?!
Ndio ila ukitaka kuondolewa huduma utaniambia au utafika duka la tigo
 
Ukishalipia hiyo unaanza kupata gb the mwezi unaofuata tarehe moja unaingiziwa gb then unalipa siku yoyote ya mwezi au unaweza kulipa kidogo kidogo, kwahiyo ww kila tarehe moja utakua unapokea GB then malipo unafanya siku yoyote ukitaka!

Ndio ila ukitaka kuondolewa huduma utaniambia au utafika duka la tigo
Na vipi kama nataka kupanda au ku upgrade kifurushi changu? Mfano nina cha gb15 kwa 15k,sasa nataka nipate cha 15k gb 10 na dk 400.. Vipi inawezekana hii??
 
Na vipi kama nataka kupanda au ku upgrade kifurushi changu? Mfano nina cha gb15 kwa 15k,sasa nataka nipate cha 15k gb 10 na dk 400.. Vipi inawezekana hii??
Inawezekana unaongezea hela iliyobaki kufikia kifurushi cha juu yake then unapewa kifurushi hicho. Mfano kama ulikiunga cha 15k ukitaka upandishwe cha 40k , utalipia 25k then unapandishwa
 
Inawezekana unaongezea hela iliyobaki kufikia kifurushi cha juu yake then unapewa kifurushi hicho. Mfano kama ulikiunga cha 15k ukitaka upandishwe cha 40k , utalipia 25k then unapandishwa
Sssa mkuu umeeleweka maana post yako ilikuwa ajakaa sawa kama washikaji wa tuma kwenye number hii
 
ya kijinga tu maana unajifunga wao wanatuma tu mb usipolipia huo mwezi wanafunga line yko huwez kupga wala kutuma text
Umeeleza sawa ila sio kweliii 100%. Unaingiziwa huduma kila mwezi na utahitajika ulipie kila mwezi siku yoyote. Na unaweza kupitisha miezi miwili bila kulipa ikizid apo ndio utazuiliwa kupigia watu ila pia ukishalipa deni unaendelea na huduma kawaida. Pia usipoitaka huduma unamwambia aliekuunga anakutoa so haikufungi asee
 
ya kijinga tu maana unajifunga wao wanatuma tu mb usipolipia huo mwezi wanafunga line yko huwez kupga wala kutuma text
Pia ukisema huduma ni ya kijinga utakua hujafikiria kwa usahihi kwasababu kama unatumia mfano kwa siku GB 1 so kwa mwezi utakua umetumia GB 30 ambazo ukinunua kwa GB 1 sh 2100 utakua kwa mwezi umetumia sh 63000, wakati huo huku kwenye postpaid ungelipa 30000 na ungepewa GB 35 Na unaruhusiwa kuilipa kidogo kidogo pia.
 
Nimsaidie
1. Malipo ya gb
2. Utakuwa unalipia kila ukitaka kujiunga
Bado umemuacha njiani hapo no mbili ..anauliza hiyo 15000 atalipa Kila mwez kwa maana kwamba kifurushi kina expire Kila Baada ya mwez au kifurushi ni unlimited kwamba inategemea na matumizi ya mtu
 
Back
Top Bottom