Unlimited ya nini?Nasikia ttcl unlimited imelud Tena?[emoji849]
Airtel ni weziNaunga menu ya SME kwa 10000..Karibuni namba ya kunicheki 0764982136View attachment 2709864
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mr.kiuno amekula pesa yangu hivihivi..kaniunga leo kesho yake likabuma.
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Hiyo ipi mzee?Dah, http custom inakubali ila speed ya Kobe ***** unaweza ukalia
Wamekuibia nini mkuu[emoji848][emoji848]Airtel ni wezi
Mtandao tulipokua tunaitumia Napsternet mkuu. Ukitumia VPN ya hhtp custom inakubali ila ndio speed ya kireeHiyo ipi mzee?
Mkuu hiyo si mpaka uwe na config file?Mtandao tulipokua tunaitumia Napsternet mkuu. Ukitumia VPN ya hhtp custom inakubali ila ndio speed ya kiree
Yes mkuu mbona file wahuni tushacreate kitamboMkuu hiyo si mpaka uwe na config file?
Mi nilikuwa nalo ila tangu ISP walivyo block nikalifutaYes mkuu mbona file wahuni tushacreate kitambo
Tatizo mnataja isp provider kwanini wasiwafanye vbaya ...ukila na kipofu usimshike mkonoKimeumana haswaaa...
Hawa ttcl wametuweza wengi[emoji3][emoji3][emoji3]
Tumeamua kuwa wazalendo tu[emoji16][emoji16][emoji16]Dah, http custom inakubali ila speed ya Kobe ***** unaweza ukalia
Mtandao gani huu mkuuTumeamua kuwa wazalendo tu[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2711988
Net solution.....Mtandao gani huu mkuu
Mwanangu kaoge maji ya baharini....huko watu washaliwa kichwaJamani nimeshapambana kupata Line ya TTCL haya nipewe VPN basi
kivipiAirtel ni wezi
Mwanangu kaoge maji ya baharini....huko watu washaliwa kichwa
Kibamba wanafika?Net solution.....