Disco lilishaingia mmasai kwa sasa, tulia dhoruba itulie kwanza..Jamani nimeshapambana kupata Line ya TTCL haya nipewe VPN basi
Sijajua mkuu ila nadhani ni huku huku mjiniKibamba wanafika?
Uzuri wa sisi wabongo, raia tuko hatua 3 mbele kuliko taasisi zetu, kutoboa ilikuwa lazima[emoji736]Http custom, UDP file. Basi jekundu, nimemaliza!
kudowload kb 10 tu mtihaniHttp custom, UDP file. Basi jekundu, nimemaliza!
Yaani ukinunua gb 1 unatumia mb 200 wanakwambia kifurushi chako kimeishaWamekuibia nini mkuu[emoji848][emoji848]
Weka 3gYaani ukinunua gb 1 unatumia mb 200 wanakwambia kifurushi chako kimeisha
Chief mkwawa ndio kakutapeli??KUNA WATU WAMEKOSA UAMINIFU SOON NALETA MKEKA WATAPELI ALIENIFANYIA UHUNI.. CHIEF MKWAWA
huyo jamaa anaheshimika sana humu, hana shida ndogondogo.KUNA WATU WAMEKOSA UAMINIFU SOON NALETA MKEKA WATAPELI ALIENIFANYIA UHUNI.. CHIEF MKWAWA
Kuna tweaks za ku-up speedkudowload kb 10 tu mtihani
Huyo Mkwawa aliyem quote huyo jamaa sio Chief-Mkwawa tunayemjua siehuyo jamaa anaheshimika sana humu, hana shida ndogondogo.
kama umemtag kwa kuomba ushauri sawa
hapana.Huyo Mkwawa aliyem quote huyo jamaa sio Chief-Mkwawa tunayemjua sie
Hata Chief mkwawa aliemtag hajakua online toka 2016hapana.
Chief-Mkwawa jembe ni Chief-Mkwawa.
aliyemsema yeye ni CHIEF MKWAWA.
kuna watu wanatumia majina ya watu kutapeli watu
pole sana mkuu.Hata Chief mkwawa aliemtag hajakua online toka 2016
hapana sio yeye mkuu..nimemtag ili ajue kuwa kuna wahuni wapo humuChief mkwawa ndio kakutapeli??
yeah ni kweli yani kuna mtu kaleta mambo ya ajabu sana nimempa huduma alafu kala kona....alihitaji huduma smeHata Chief mkwawa aliemtag hajakua online toka 2016
Post screenshotyeah ni kweli yani kuna mtu kaleta mambo ya ajabu sana nimempa huduma alafu kala kona....alihitaji huduma sme
Picha hizo..vipi nipost na TIN namba yake hizi zinatosha?View attachment 2713752View attachment 2713753View attachment 2713756View attachment 2713755View attachment 2713757View attachment 2713754View attachment 2713758View attachment 2713759Post screenshot
zimekuja picha zote? maana naona kama imekuja moja..Post screenshot