Ngoja nitakupa namba ya mwingine umchekiDar es salaam Kigamboni
Utatisha zaidiNgoja nitakupa namba ya mwingine umcheki
Kwanza nimempigia inaonekana kuna vitu anashindwa kuwaeleza vizuri watu.Utatisha zaidi
Kesho lazima atakuchekiUtatisha zaidi
Yeah swezi pinga na tunaweka tu makubaliano ikitokea Kuna 5g eneo langu naweza kutoa. Ile ya 4g nakuweka 5gKwanza nimempigia inaonekana kuna vitu anashindwa kuwaeleza vizuri watu.
Status ya huduma ni 5G internet kwa hiyo yeye anacho amini ni kuwa kumlipisha mteja huduma ya 5G kwa 4G ni udhumishi.
Router zina band tatu 5G, 4G na 3G
Sasa yeye ndo ameshindwa kukuambia kuwa eneo lako hakuna 5G ila utapata access ya 4G ili akupe uhuru uchague kama utahitaji au hutahitaji.
Nimeongea naye amesema inawezekana kuipata huduma hiyo kwa eneo lako ila utapata 4G.
Kwa msoto tunaopitia najua tu huwezi kataa huduma eti kwakua sio 5G [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio inavyokuwa japo kiuhalisia Airtel wenyewe hawatakiYeah swezi pinga na tunaweka tu makubaliano ikitokea Kuna 5g eneo langu naweza kutoa. Ile ya 4g nakuweka 5g
Airtel wanaiba bando si kawaidaMie ndani ya sku 2 tu bando kushnei
Huyu wa 2 nami kanicheki na kanipa maelezo kama yako hivyohivyo... Na aliongeza kwamba router zimekuwa locked kwenye 5G pekee hivyo 3G na 4G hazifanyi kazi... Ila kama router zina option mpaka ya 3G kwa nini wana restrict kwenye maeneo ya 5G pekee?Mtoa huduma wa mwanzo alinieleza kuwa huduma mpya ya Airtel 5G kupitia Router inafika popote.
View attachment 2723650
Tuliongea kuwa leo aje eneo langu aniletee hicho kifaa ila leo asubuhi kanitumia ujumbeView attachment 2723658
Nikaamua nimcheki mtoa huduma mwingine ambaye huyu ndio yule niliyeweka namba yake hapa jana (0769489149)
Kaniambia kuwa Airtel wameweka utaratibu wa kutoa huduma maeneo ambayo yanashika 5G pekee.
Japo kifaa chao (Router) kinashika 4G lakini haitakiwi kutumia network ya 4G kwenye huduma zao.
Ingawa kifaa ni movable ila pindi unapotaka kutoka eneo ulilifungiwa huduma kwenda eneo jingine unatakiwa kutoa taarifa.
Isingekuwa hivyo ningeweza kwenda maeneo yenye 5G nikaletewa kifaa kisha nikarudi mtaani kwangu nikawa natumia 4G. Ila wameweka angalizo kuwa ikifahamika kuwa unatumia network ya 4G itafungwa account yako.
Maeneo ambayo huduma hii ya 5G utaweza kuipata ni Kawe, mwenge, mbweni bunju na tegeta ndo inapatikana.
Wadau wa maeneo hayo mnaweza kuendelea kupata huduma hiyo
**************************
Hayo ndio yalikuwa maelezo ya mtoa huduma wa pili baada ya yule wa kwanza kupatwa na dharura leo asubuhi.
Sasa maswali nayo jiuliza mimi ni kwamba huyu mtoa huduma wa kwanza ndio kusema anatoa hiyo huduma kwa eneo lolote kama njia ya cheating?
Au alikosea maelezo?
Ngoja nimsikikizie akitatua changamoto yake ntaongea naye vizuri.
Mimi mwenyewe niliwaambia the sameHuyu wa 2 nami kanicheki na kanipa maelezo kama yako hivyohivyo... Na aliongeza kwamba router zimekuwa locked kwenye 5G pekee hivyo 3G na 4G hazifanyi kazi... Ila kama router zina option mpaka ya 3G kwa nini wana restrict kwenye maeneo ya 5G pekee?
Huu ndiyo ushauri niliompa, kama hawatasikiliza basi huko walikochagua kwenda hawatapata wateja maana kuna ushindani mkubwa wa makampuni meengi kama TTCL,Vodacom,Smile nk.
View attachment 2723888
Mimi mwenyewe niliwaambia the same
Sijui kampuni limeweka watu wenye fikra gani ambao ndio wamepewa dhamana ya kutoa ushauri kwa maslahi ya kampuni.
Yani unamuacha ombaomba unaenda kumsaidia Bakhressa?
Hayo maeneo ambayo wameng'ang'ania ukiangalia hayana uhitaji mkubwa kama ambavyo inadhaniwa.
Huko tayari kuna Fiber kama zote, Raha, Zuku, Neso, TTCL na makampuni mengi ambayo mengine hatujayajua.
Vida nao na Supakasi yao wametandaza mabango kila mtaa maeneo hayo.
Yani hayo makampuni yamefanya kila liwezekanalo kuhakikisha kila nyumba inapata huduma yao.
Ukiona kuna nyumba haina hiyo huduma basi wamiliki wenyewe ndio wameamua, mana yake hata ukija na ki Router chako you can't change a damn shit
Nakumbuka kuna mwanangu alikuwa anasema kuna makampuni yalikuwa yanafanya survey ya nyumba kwa nyumba, gonga hodi mlango ukifungua unakutana na promosheni ya hiyo huduma.
Makampuni hayo mpaka yamefanya hivyo kwa miaka halafu we unakuja na ki Router chako cha 70K eti unataka kufanya mageuzi.
Mi yule dada nimemchana nimemwambia mnachokifanya nyinyi na kampuni lenu ni sawa na kujumua maparachichi Buguruni na kwenda kuyauza Tukuyu ukitegemea ikulipe.
Afadhali umemchana ukweli kama mimi[emoji38][emoji38][emoji38]Mimi mwenyewe niliwaambia the same

Afadhali umemchana ukweli kama mimi[emoji38][emoji38][emoji38]
Huko wnakoenda wamepotea njia kabisaaa, kuko occupied kitaaamboo.
Nachoshangaa inakuwaje haya makampuni yanashindwa kuweka vifaa vya 5G kwa Dar nzima, kimkoa kidogo tuu hiki, na wana minara everywhere. Je mpaka waje wafike nchi nzima ni lini? Halafu kwa nini wote wameng'ang'ana maeneo yaleyale, hayo maeneo yana nini, au wanahisi huku kwingine watu hawatumii internet?
Wameniudhi sana hawa Airtel.
Halafu sio kweli kuwa Router zimekuwa locked.Huyu wa 2 nami kanicheki na kanipa maelezo kama yako hivyohivyo... Na aliongeza kwamba router zimekuwa locked kwenye 5G pekee hivyo 3G na 4G hazifanyi kazi... Ila kama router zina option mpaka ya 3G kwa nini wana restrict kwenye maeneo ya 5G pekee?
Huu ndiyo ushauri niliompa, kama hawatasikiliza basi huko walikochagua kwenda hawatapata wateja maana kuna ushindani mkubwa wa makampuni meengi kama TTCL,Vodacom,Smile nk.
View attachment 2723888
Na sijui wanatumia tech ya dizaini gani kiais wafanye mambo polepole hivi.Afadhali umemchana ukweli kama mimi[emoji38][emoji38][emoji38]
Huko wnakoenda wamepotea njia kabisaaa, kuko occupied kitaaamboo.
Nachoshangaa inakuwaje haya makampuni yanashindwa kuweka vifaa vya 5G kwa Dar nzima, kimkoa kidogo tuu hiki, na wana minara everywhere. Je mpaka waje wafike nchi nzima ni lini? Halafu kwa nini wote wameng'ang'ana maeneo yaleyale, hayo maeneo yana nini, au wanahisi huku kwingine watu hawatumii internet?
Wameniudhi sana hawa Airtel.
Kimsingi hawa wanacheza, haiwezekani wafungue mkongo wao wa fiber kisha waji limit kwenye maeneo machache kiasi hiko..Halafu sio kweli kuwa Router zimekuwa locked.
Ni wao na visheria vyao
Na ndio maana ukisoma terms na condition wamesema "ikigundulika kuwa Router yako inatumika ku provide internet ya 4G account yako itafungwa"View attachment 2723999
Sasa wao ilikuwa ni swala tu la kuongea kama tuko tayari ku take risk siku ikifahamika tunatumia 4G basi tusiwalaumu
Au kama kuna chochote kitu tunachoweza kuwapoza ili kuzuia Router isiweze kugundulika inatumia 4G basi wangependekeza sisi tuwape
Ule mkongo waliuleta wa kazi gani kwanza..Na sijui wanatumia tech ya dizaini gani kiais wafanye mambo polepole hivi.
Sijajua hiyo 5G inasambazwa kama mabomba ya wapemba kwenye visima vyao au wanafanyaje.
Angalia sasa jana nikajaribu kutembelea page yao ya instagram nikakuta kuna mdau kauliza swali kuhusu maeneo ambayo 5G inapatikana Dar Es Salaam
Wao wakajibu kuwa 5G inapatikana mikoa miwili Dar na Dodoma
Watu walioko Mbeya wanaweza wakaamini hiyo kauli lakini kiuhalisia ni kwamba huduma ipo kikanda.
Hao TTCL ndio sitaki hata kuwajadiliYani apo unakuta ni kuna ma boss wao wanakaa huko so wanatak waanze na wao kupata huduma n then badae ndo huduma italetwa huku jamba nani kwetu.. yani me company inayo niuzi n kunikasirisha n kutia huruma ni TTCL… yani ndo provider bt ndo wa mwisho. Koz ni watumish wa uma so hajali kabisa company ifike mbali koz hawana chakukosa mwisho wa mwezi.. bt huku kwengine ni vitaa ni vita muraaa… ina ella nyingi sana wakiiweka kisasa n waache kuweka wazee n watu wasio penda technology.