Nipe muongozo mimi nahitaji mkuu!University offer kwa voda na Tigo......
Karibuni
Tuma namba na jina then dakika 10 inakuwa Tayari. Malipo ni kabla ya kazi nlikuwa nafanya baada watu hawalipi
Nipe code ni jarbuWakuu niaje,,,, ebana hili bundle la gb 40 za voda bado lipo au wamevunga???,, juzi nimejaribu kujiunga nimeambulia dk 1400 na gb 5 pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hupatikani kwa simuTuma namba na jina then dakika 10 inakuwa Tayari. Malipo ni kabla ya kazi nlikuwa nafanya baada watu hawalipi
Nadhan unajua pa kupitiaHio ni process... Unatumia MTK kuunganisha.. Tena ni kwa baadhi ya cm pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nasubilia jibu hapa kwako ikiwezekana nami nitupiemoWakuu hili swala la GB 60 kwa miezi sita vodacom kwa elfu 10 ni kweli au ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tayari mkuu asante!Tuma namba na jina then dakika 10 inakuwa Tayari. Malipo ni kabla ya kazi nlikuwa nafanya baada watu hawalipi
Wewe ndo unajua leo mzeee?????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Wakuu hili swala la GB 60 kwa miezi sita vodacom kwa elfu 10 ni kweli au ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwambie aje nimuungeWewe ndo unajua leo mzeee?????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo unajua leo mzeee?????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari connected!Mkuu, unasema tayari ukimaanisha kuwa tayari umeshakuwa connected au tayari umeshatuma pesa na jina mkuu...?
Thanks a lot.