Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mimi pia nilitapeliwa nilituma pesa sikuungwa hicho kifurushi.Kuweni Makini msiseme Sikuonywa.
 
Nilikaribia kuuhama mtandao wa voda, baada ya mkuu Kajole kuniunganisha sasa hivi nakula maisha tu ambapo kifurushi cha 1500 kwa wiki napata dk 150(voda), dk 15(yote), sms bila kikomo na 1gb. Japo siku hizi wamepandisha imekuwa 2000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaeitaj laini yake ya Tigo iwe ya Chuo nipigie!0659202222 Nabadilisha Dk2 inakuwa Tayar
 

Mi hiyo ya VOda napata option moja tu ya 3GB kwa 10,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…