Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Jana usiku niliweka kifuruahi cha siku 7 cha net, sma na dakika ambapo nilipara MB 400 na nilitumia zaidi ku-browse ila nashangaa muda huu net imeanza kususua na kuangalia salio naona zimebaki MB 19 na point.
Sasa najiuliza hii speed ya bando kwisha ni haki au ni wizi?
Sidhani hata kama niliangalia video yoyote labda niseme ndio imechqngiq MB zangu kuporomoka kiasi hiki.
Tigo mjitafakari na muda huu nimenunua bando nyingine lakini huenda ndio ikawa mwisho wa kiutuma vifurushi vyenu.
This is too much!