Vifurushi vya tigo Internet, ndio vinaisha kwa kasi kiasi hiki au ni wizi?

Bacjground app hizo
Hii kitu ni uongo uliotukuka, ikiwa hivyo ina maana tumeanza kutumia App kwa kipindi hiki cha siku za karibuni ambacho bundle linakimbia sana?.

NO, huko nyuma app zlkuwepo na hakukuwa na kuliwa kwa kama hivi, ni kwamba kuna mazingira ya wananchi kupigwa na washika dau wapo kimya.

Kwa muda sasa hili limekuwa janga kwa watumiaji wote wa internet.
 
NENDA BACKGROUND APP.....WEKA OFF APP ZOTE
 
Vodacom umewasingizia copral, jitathmini.
Tunazungumzia kifurushi kukata kama upepo na si ubora/speed ya internet yao. Voda bundle la 1gb linayeyuka kama barafu juani!
 
Ukitaka kuenjoy bando za Voda na Tigo, Voda tumia Supakas na Tigo lipia bando kwa Post Paid, ila hizi bando za buku mbili mbili au tano kwa mwezi utatumia hata laki 3
Tigo Post paid zinakaa sana aisee.
 
Maisha ya me badilika na zama zimebadilika.Matumizi ya bando(data) ni uhitaji la binadamu kama mahitaji mengine. Makampuni ya simu msifanye data kama ni jambo la anasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…