Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?

Ukiwa gesti na mwanaume na hamna cheti cha ndoa, unajiuza
 
Hii video itatumika kama ushahidi mahakamani.
 
Sasa wakiwapeleka mahakamani watatumia ushahidi upi, kuwa hawa ni wauza miili yao,?
Ushahidi wa kosa la uzembe na uzururaji (vagabond) siyo lazma uthibitishwe wanauza miili, ukahaba upugwe vita jamii inaharibika watoto wanakua wakiona machangudoa wamevaa chupi wanajiuza, wasiposhughulikiwa ipo siku extremists watawashughulikia. Hakuna haki ya faragha ktk uhalifu, wakitaka sheria inayozuia ukahaba ifutwe bungeni, kwa sasa wanaohisiwa wakamatwe wawekwe ndani wahojiwe wakiona inafaa wapelekwe mahakamani. Kazi iendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…