EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Jamaa inaonekana aliwahi kunyimwa utelezi na kahaba akaapa kuja kulipa kisasi ilitokea bahati akapata u-dc akaona ndio wakti muafaka wa revenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NDIO TATIZO LA VYEO VYA KUPEANA BAADA YA KUPIGA KAZI KWA AJILI YA KUIJENGA CV YAKO, WEWE UNA FANYA KAZI ILI KAMERA ZIKUONE SASA KWA AKILI YAKE AMEWAKAMATA ATAWASHITAKI KWA SHERIA IPI?
Sasa mbona na wanaodaiwa ni wanunuzi wanakamatwa pia??Tanzania hakuna sheria inazuia ukahaba, isipokuwa sheria inakataza mapato yatokanayo na ukahaba.
Sasa mbona na wanaodaiwa ni wanunuzi wanakamatwa pia??
Yes, hiyo ipo kwenye Money Laundering Act.Tanzania hakuna sheria inazuia ukahaba, isipokuwa sheria inakataza mapato yatokanayo na ukahaba.
Haujawa umbea tuliza boli mpaka sasa upo salama salmini sababu yangu Qenge wewe au haujui mimi ndio mwenyewe niliyemtag?Acha umbea wewe
Habari zenu wana jamvi,
Katika pitapita huko mtandaoni nimeona taarifa ya operesheni anayoiendesha Mkuu wa wilaya ya Ubungo,Mh Hassan Bomboko ya kutokomeza biashara ya ukahaba. Takribani miezi miwili amekuwa akiendesha kampeni ya kamata kamata wanawake anaodai ni madada poa na vilevile wanaume wanaodaiwa ni wanunuzi wa makahaba na kama hiyo haitoshi amekuwa akizigungia hadi bar mbalimbali zilizoko Ubungo na Sinza kwa madai ya kwamba zinawahifadhi makahaba.
Swali langu tu ,Je anatumia vigezo gani kuingilia faragha za watu ndani ya nyumba za kulaza wageni kama vile lodge ? Katika video iliyorushwa na Millard Ayo imeonesha akivamia lodge inayofahamika kama PR na kufungua vyumba vyote na kuwatoa watu katika faragha zao kwa madai kuwa ni makahaba na wanunuzi. Je hii ni sawa?
Pia amekuwa akizifungia lodges , je anataka wamiliki wa lodges wawe wanafanya kazi ya polisi kuhoji kazi ya kila mtu anayekwenda kuhitaji kupatiwa chumba cha kulala?
Vp ikiwa mtu amekwenda kupata faragha na mwenza wake katika hizo lodge halafu yeye anavamia na kuwaita watu ni makahaba na wanunuzi wa makahaba?
Kwa hali hii amefungia hadi Bar mbalimbali Sinza kwa kigezo cha kutopuga marufuku makahaba, je hawa wamiliki wanahusika vipi na masuala ya kufahamu kazi za watu?
Haoni kama anawatafutia hasara za kimapato hao wamiliki wa bar na lodges kutokana na kufungia biashara "halali" zinazoingizia Mapato serikali ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan.?
Chanzo: Millard AyoTv
View: https://m.youtube.com/watch?v=x4XCJyVLQ7E
Watajulia wapi hayo ndugu wakati hao ni vijana wa mwendo Kasi mama anatuletea? Wakati mwingine unajiuliza hivi huyu nae analipwa mshahara Kwa Kodi za wananchi wakiwemo na hao anaowashutumu ni makahaba na anajiona kabisa Yuko kazini? Sijui Hawa viongozi wa sampuli hii wanaokotwa wapiHivi ni kwanini hata asingemtafuta Mwanasheria wa Manispaa ya Ubungo classmate wangu Wakili Msomi Coletha ampe ABC za kisheria kuhusu ukahaba?
Kwanini viongozi wa umma wanajidhalilisha?
Kwanini hata asingepita humu JF akasoma kisa cha RC wa Dar 1985 bwana Joseph Rwegasira na suala la kupambana na ukahaba na usia aliopewa na Nyerere?
Waafrica tupo kama mbuni tunaficha kichwa mchangani wakati matako yako nje!Waliofungua lodges na bar nao wakafanye biashara gani? Unaenda kukamata malaya barabarani halafu unamsingizia mwenye bar kuwa ndiye anayewafuga? Does it make sense
Guests house nyingi zina condom za bureWaafrica tupo kama mbuni tunaficha kichwa mchangani wakati matako yako nje!
Takwimu za TACAIDS zinaonyesha maambukizi ya virus vya HIV vinaonfezeka kwa kasi sana! Hasa kwa vijana wadogo ambao ndio nguvu kazi ya taifa! Na hao malaya wanaojiuza awachagui rika wanauzia hata watoto wadogo!!
Na pia gest nyingi zimegeuzwa kama ofisi za hao malaya! Wanalipa vyumba wanavitumia kwa ajili ya kufanyia uasherati!
Hivi mnataka tuwe na taifa la namna gani? Ambalo vijana wengi ndio victim wa ugonjwa wa ukimwi?
Viko vyombo kwa ajili ya hiyo kazi lakin si sababu ya kuignore matatizo mengine. Serikali ni omnipresentWangekuwa wanapiga doria halmashauri kucheki Kama Kodi zetu zunatumika sawa. Ile report ya cag ingekuwa unafuatiliwa Ila wao wamekaa sijui wanataka wapate hongo
Habari zenu wana jamvi,
Katika pitapita huko mtandaoni nimeona taarifa ya operesheni anayoiendesha Mkuu wa wilaya ya Ubungo,Mh Hassan Bomboko ya kutokomeza biashara ya ukahaba. Takribani miezi miwili amekuwa akiendesha kampeni ya kamata kamata wanawake anaodai ni madada poa na vilevile wanaume wanaodaiwa ni wanunuzi wa makahaba na kama hiyo haitoshi amekuwa akizigungia hadi bar mbalimbali zilizoko Ubungo na Sinza kwa madai ya kwamba zinawahifadhi makahaba.
Swali langu tu ,Je anatumia vigezo gani kuingilia faragha za watu ndani ya nyumba za kulaza wageni kama vile lodge ? Katika video iliyorushwa na Millard Ayo imeonesha akivamia lodge inayofahamika kama PR na kufungua vyumba vyote na kuwatoa watu katika faragha zao kwa madai kuwa ni makahaba na wanunuzi. Je hii ni sawa?
Pia amekuwa akizifungia lodges , je anataka wamiliki wa lodges wawe wanafanya kazi ya polisi kuhoji kazi ya kila mtu anayekwenda kuhitaji kupatiwa chumba cha kulala?
Vp ikiwa mtu amekwenda kupata faragha na mwenza wake katika hizo lodge halafu yeye anavamia na kuwaita watu ni makahaba na wanunuzi wa makahaba?
Kwa hali hii amefungia hadi Bar mbalimbali Sinza kwa kigezo cha kutopuga marufuku makahaba, je hawa wamiliki wanahusika vipi na masuala ya kufahamu kazi za watu?
Haoni kama anawatafutia hasara za kimapato hao wamiliki wa bar na lodges kutokana na kufungia biashara "halali" zinazoingizia Mapato serikali ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan.?
Chanzo: Millard AyoTv
View: https://m.youtube.com/watch?v=x4XCJyVLQ7E
Hivi vyeo vilikuwa vya kikoloni, katiba mbovu. Hakuna vetting yoyote ya maana ni kuteua TU hata wehu huko mtaani!Ila kuwa kiongozi Afrika raha sana. Unafanya utakacho na hakuna wakukufanya lolote.
Kwa nchi za wenzetu hilo ni bonge la lawsuit kwa wale waliotolewa vyumbani wakiwa na wenzi wao.
Ukute huyo mbwiga aligongewa mchepuko wake anaishia kuhamishia hasira zake zote kwa watu wengine.
Anataka watu wakabake watoto wa shule. Hajui kwamba hao makahaba wanasaidia kupunguza ubakaji
Mwambie ukweli huyu pimbi hajielewi na hajui chochote! Mtoto wake akibakwa akili zitamjia sawasawa!