Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa nini hausapoti??Disclaimer: Sisapoti ufanyaji wa biashara za ukahaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini hausapoti??Disclaimer: Sisapoti ufanyaji wa biashara za ukahaba
Vipi kama hawaamini Mungu??Hii biashara haramu ina watetezi wengi sana! Tafuta kazi halali ufanye acha kuuza mbunye!
Tafuta kazi ya halali MUNGU atakubaliki! Hata kama utapata kidogo lakini kina baraka za Mola!
Na watahukumiwa kwa sheria ipi??Sasa wakiwapeleka mahakamani watatumia ushahidi upi, kuwa hawa ni wauza miili yao,?
Hukumu ya kahaba kwa Tanzania ikoje kisheria?Hapo shida ni mahamani huwezi kuprove kwamba hao makahaba maana kawakuta gesti.....hiyo PR z ni lodge ipo hapo sinza meeda mara nyingi watu wakinunuana wanaenda PR kulipia chumba....
Mwenye PR yeye hajui hao wateja wamepatanaje maana ni wateja tu hiyo pr
Bei zao ni 10000tsh tu
So wakienda mahamakani hapo kesi jamhuri kushinda ni ngumu labda watumie force kisheria hapo hata hao malaya wanatoka maana kawakuta bar na lodge....
Lakini pia itabid approve kwamba walipokea hela ya kujiuzA jambo ambalo nalo ni gumu .....hizo kesi huwa ngumu sana
Habari zenu wana jamvi,
Katika pitapita huko mtandaoni nimeona taarifa ya operesheni anayoiendesha Mkuu wa wilaya ya Ubungo,Mh Hassan Bomboko ya kutokomeza biashara ya ukahaba. Takribani miezi miwili amekuwa akiendesha kampeni ya kamata kamata wanawake anaodai ni madada poa na vilevile wanaume wanaodaiwa ni wanunuzi wa makahaba na kama hiyo haitoshi amekuwa akizigungia hadi bar mbalimbali zilizoko Ubungo na Sinza kwa madai ya kwamba zinawahifadhi makahaba.
Swali langu tu ,Je anatumia vigezo gani kuingilia faragha za watu ndani ya nyumba za kulaza wageni kama vile lodge ? Katika video iliyorushwa na Millard Ayo imeonesha akivamia lodge inayofahamika kama PR na kufungua vyumba vyote na kuwatoa watu katika faragha zao kwa madai kuwa ni makahaba na wanunuzi. Je hii ni sawa?
Pia amekuwa akizifungia lodges , je anataka wamiliki wa lodges wawe wanafanya kazi ya polisi kuhoji kazi ya kila mtu anayekwenda kuhitaji kupatiwa chumba cha kulala?
Vp ikiwa mtu amekwenda kupata faragha na mwenza wake katika hizo lodge halafu yeye anavamia na kuwaita watu ni makahaba na wanunuzi wa makahaba?
Kwa hali hii amefungia hadi Bar mbalimbali Sinza kwa kigezo cha kutopuga marufuku makahaba, je hawa wamiliki wanahusika vipi na masuala ya kufahamu kazi za watu?
Haoni kama anawatafutia hasara za kimapato hao wamiliki wa bar na lodges kutokana na kufungia biashara "halali" zinazoingizia Mapato serikali ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan.?
Chanzo: Millard AyoTv
View: https://m.youtube.com/watch?v=x4XCJyVLQ7E
Mbona sigara,pombe na kitimoto vinaruhusiwa??Naona biashara hiyo hapa jf ina watetezi sana,
Labda kuuza uchi ni money loundering!Na watahukumiwa kwa sheria ipi??
Uko sawa, kama nchi inaendeshwa kwa kufuata maadili ya dini wapige marufuku pombe, vitimoto na masigara.Mbona sigara,pombe na kitimoto vinaruhusiwa??
Habari zenu wana jamvi,
Katika pitapita huko mtandaoni nimeona taarifa ya operesheni anayoiendesha Mkuu wa wilaya ya Ubungo,Mh Hassan Bomboko ya kutokomeza biashara ya ukahaba. Takribani miezi miwili amekuwa akiendesha kampeni ya kamata kamata wanawake anaodai ni madada poa na vilevile wanaume wanaodaiwa ni wanunuzi wa makahaba na kama hiyo haitoshi amekuwa akizigungia hadi bar mbalimbali zilizoko Ubungo na Sinza kwa madai ya kwamba zinawahifadhi makahaba.
Swali langu tu ,Je anatumia vigezo gani kuingilia faragha za watu ndani ya nyumba za kulaza wageni kama vile lodge ? Katika video iliyorushwa na Millard Ayo imeonesha akivamia lodge inayofahamika kama PR na kufungua vyumba vyote na kuwatoa watu katika faragha zao kwa madai kuwa ni makahaba na wanunuzi. Je hii ni sawa?
Pia amekuwa akizifungia lodges , je anataka wamiliki wa lodges wawe wanafanya kazi ya polisi kuhoji kazi ya kila mtu anayekwenda kuhitaji kupatiwa chumba cha kulala?
Vp ikiwa mtu amekwenda kupata faragha na mwenza wake katika hizo lodge halafu yeye anavamia na kuwaita watu ni makahaba na wanunuzi wa makahaba?
Kwa hali hii amefungia hadi Bar mbalimbali Sinza kwa kigezo cha kutopuga marufuku makahaba, je hawa wamiliki wanahusika vipi na masuala ya kufahamu kazi za watu?
Haoni kama anawatafutia hasara za kimapato hao wamiliki wa bar na lodges kutokana na kufungia biashara "halali" zinazoingizia Mapato serikali ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan.?
Chanzo: Millard AyoTv
View: https://m.youtube.com/watch?v=x4XCJyVLQ7E
Ana akili finyuViongozi mkurupuko akili kisoda, kuna Mambo ya msingi ya kuhangaika nayo, ila kuhangaika na ma barmaids ni ukosefu wa fikra
Ana akili za kuvukia barabara tuAna akili finyu
Tuna viongozi wenye upeo mdogo sana tena wakiongozwa na Bibi 🐸Na watahukumiwa kwa sheria ipi??
Kwa Tanzania hii hata mjumbe wa nyumba kumi anaweza kufanya lolote madam tu ana baraka toka kwa Bibi 🐸Mkuu kusheria mkuu wa Mko au Mkuu wa wilaya ana nguvu kusheria kufunga Buashara ilivyo funguliwa kwakufata sheria ?
Huu ni uvamizi mwingine alioufanya maeneo ya Riverside,ubungo majuma kadhaa yaliyopita.
View: https://m.youtube.com/watch?v=PSaLjqsORm8&pp=ygURRGMgYWthbWF0YSBtYWxheWE%3D
Wengi tunamlaumu lakini si kwa sababu ya Uislamu wake si vyema kuingiza udini kwenye mada zisizohusu udini.Huyu ni mfano wa utaahira wa kuchanganya dini na siasa, yaani hapo limejiona ndio liislam safi eti.., akina Slaa na Makonda wanatafua migogoro lenyewe linaharibu uchumi na kuingilia faragha za watu..,
Viongozi wa kiislam ni laana kwenye nchi hii