Makoye thomas
Member
- Jun 18, 2013
- 30
- 4
Kuna rafiki yangu kapata division two pt 9 mwaka huu combination ya PCM, mimi nilimshauri katika selection zake aanze na UDSM kwani matokeo yake siyo mabaya. Yeye amepata B plain kwa masomo yake yote yaani physics, chemistry & mathematics.
Lakini kabla hajaenda kufanya selection akaomba ushauri kwa jamaa mwingine anayesoma St Joseph university akamwambia matokeo yake siyo mazuri sana hivyo hata meet competition ya UDSM akamshauri first choice aombe UDOM then ndo aombe UDSM.
Vp probability ya kuchukuliwa UDOM au UDSM ipo vp hapo wadau?