Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Cheti changu ni darasa 7 nataka chuo Cha ufundi yan driving na ufundi wamgali nko njombe tz af chuo Cha serikal
 
Habari wakuu, tafadhali naomba mwenye namba za chuo cha KILIMANJARO COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE kilichopo pale moshi anipatie.
Mwenyewe nina haja nayo, iliyopo website siielew kabisa
 
Kwa matokeo haya,naweza kupata chuo kusoma clinical officer?
KISWAHILI-D
GEOG-D
HISTORY-D
B/MATHS-D
CIVICS-C
CHEMISTRY-D
PHYSICS-C
BIOLOGY-C
ENGLISH-C
Inawezekana ukichagua vyuo vidogo vidogo vya Mikoani, Wahi Round ya pili iko open sasa. Usipobagua mazingira ukosi chuo.
 
Guys naomben msaada mtu aliye somea land management and valuation anapata Akira sehem gani?

Na Kati ya land management na bachelor of account and information technology ipi ndo nzuri zaid?naomba msaada
 
Naomba kujua kuhusu taratibu za kujiunga na chuo cha Mwalimu nyerere ikiwa umechaguliwa hapo Tafadhali jamani
 
Naomba msaada wa kozi gani marketable chuo Cha kati kwa binti mwenye matokeo haya kidato Cha nne. Division 4 ya points 27
CIV - 'C' HIST - 'F' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
 
Naomba msaada wa kozi gani marketable chuo Cha kati kwa binti mwenye matokeo haya kidato Cha nne. Division 4 ya points 27
CIV - 'C' HIST - 'F' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
Enterpreneurship, uanishe biashara yako na kuajiri wengine, zingine zote utakuta unataka kuajiriwa, soma ukaajiri watu.
 
Wakuu me nimemaliza kidato cha 4 mwaka jana. Nimepata division 3.24 ambapo CIV-C KIS-B ENG-D GEO-D HST-D MATH-F CHEM-D BIOS C Hapo naweza kusomea IT
 
Samahani wakuu Nina division 4 ya 26. EngD geogD civicsC kiswC bioD history D mathF
 
Wakuu me nimemaliza kidato cha 4 mwaka jana. Nimepata division 3.24 ambapo CIV-C KIS-B ENG-D GEO-D HST-D MATH-F CHEM-D BIOS C Hapo naweza kusomea IT
Eleza Haja yako ushauriwe sasa
 
Unahitaj kusomo nini na wapi?
Biology na English zitamsaidia kama ataenda kusoma CHUO CHA TAIFA CHA UTALII, asomee hotel management and Catering, kipo pale IFM ila ajichunge sana asiwe jamvi la wageni kama wenzake walivyo, then , atamaliza na kuajiriwa Kilimanjaro kwenye utalii,:akipaa uzoefu wa miaka miwili naye afungue mghahawa wake aajiri wengine na baadae atamiliki hoteli kubwa ya kitalii;
 
Serious, Na huo mlolongo kama unahitaji mbongo nene asee yaani ni zaid ya elimu hiyo ni akili ya Biashara kabisa.
 
Unaweza kubadilisha somo kwenye stashahada maalumu ya ualimu wa masomo uliyopangiwa chuo cha kati
 
Naomba kujua taratibu za kujiunga na open university lengo kujiendelea kutoka chet (ualimu) kwenda diploma
 
Naomba kujua mtu aliyesoma HGE, kwa chuo asomee kozi gan
 
jaman naomben ushaurii nmemaliza form 4 result ipo hv
geogrpy D
civics D
bios D
kiswahl C
Englsh D
mathe F
histry F
naweza kuxomaa information technology
 
Back
Top Bottom