Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Wakuu mm nimemaliza form 4 mwaka 2O16 na ninataka kusoma mwaka huu 2O24 chuo cha afya cha serikali je watanichukua
 
Na vile vile kwa matokeo haya je ntachaguliwa cozi yeyote ya afya kwa chuo cha serikali?
Chem C
Bios C
phys D
Math C
English C
Hist C
Geo C
Kisw C
Civ C
 
Nina mdogo wangu amesoma masomo ya Arts amepata D 2 ya HISTORY na GEOGRAPHY pamoja na C ya KISWAHILI masomo mengine yote kapata F..Je anaweza kupata chuo huko Zanzibar?
 
Na vile vile kwa matokeo haya je ntachaguliwa cozi yeyote ya afya kwa chuo cha serikali?
Chem C
Bios C
phys D
Math C
English C
Hist C
Geo C
Kisw C
Civ C
Nenda Dental utapata na mkopo
 
jamani naombeni msaada wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina div 3 point 25 grade za masomo ni:
geo-c bio-c eng-b+
math-b kisw-d hist-c
phy-c chem-d civ-c

Je, naweza kujiunga na chuo cha DIT
(nataka nichukue electronics and telecommunication engineering)
Hach utan ww
 
Jamani eeeh ndugu zangu, Mwenye ya kiongozi yoyote wa wizara ya afya naomba anitumie namba kwenye account yangu kuna Vijana wanatesema kwenye chuo fulani hivi Cha serikari
 
Back
Top Bottom