Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Kijana MUST hawana Electronics + Electrical
hii ipo tu ATC Arusha

hapana kijana, must wana electronics+electrical wakat Dit wana electronics+telecom(ambayo ata UDSM ipo hvyo hvyo)


MUST​


  • Ordinary Diploma in Architecture
  • Ordinary Diploma in Civil
    Engineering
  • Ordinary Diploma in Computer
    Engineering
  • Ordinary Diploma in Electrical
    Engineering
  • Ordinary Diploma in Mechanical
    Engineering
  • Ordinary Diploma of Science and
  • Business Administration

DIT​


  • i. Ordinary Diploma in Civil
    Engineering
  • ii. Ordinary Diploma in Computer
    Engineering
  • iii. Ordinary Diploma in Electrical
    Engineering
  • iv. Ordinary Diploma in Electronics
    and Telecommunications
    Engineering
  • v. Ordinary Diploma in Mechanical
    Engineering
  • vi. Ordinary Diploma in Science and
    Laboratory Technology
  • vii. Ordinary Diploma in Mining
    Engineering
  • viii. Ordinary diploma in Biomedical
    Equipment Engineering

ATC (Arusha)​


  • Ordinary Diploma in Automotive Engeneering
  • Ordinary Diploma in Civil Engeneering
  • Ordinary Diploma in Laboratory Technology
  • Ordinary Diploma in Mechanical Engeneering
  • Ordinary Diploma in Telecommunication
  • Ordinary Diploma in Civil & Irigation Engeneering
  • Ordinary Diploma in Electrical & Electronics Engeneering
  • Ordinary Diploma in Transportation


WDMI (kinondoni)​


  • Ordinary Diploma in Laboratory Technology
  • Ordinary Diploma in Water Resources Engeneering
 
sasa mbona nimeambiwa naingia pre entry kwasababu ya D ya chemia

Chemia huwa ina angaliwa lakin kama umefail engl but kwa kuwa una b+ ya engl inachukua nafas ya chem
 
Nami pia ningependa kujiunga na d.i.t mwaka huu nmehitimu mwaka jana marks zangu ni, Chem C, Math C, Bios B, Englsh B, Kisw B, Civics C, Histry C, Geography C na Phy D. Pia nilijaza sellform vp naweza kuchaguliwa ndugu?Nataka kuchukua lab technology au medical science.

Ahsante
 


Kukuchagua hawawezi mkuu ! Una D ya physics atleast ungekuwa na C !
 
Mimi Eng C,chem B,phy C,Bio C,Math C,hist C,Geog C,vp computer engineering watanichukua?
 
Msaada wa kujua namna ya kupata form ya kujiunga na chuo cha uwaziri Tabora. Na ni wakati gani naweza kutuma maombi yangu.
 
Masaada wa kujua namna ya kupata form ya kujiunga na chuo cha uwaziri Tabora. Na ni wakati gani naweza kutuma maombi yangu.


Mkuu uwaziri hausomewi ni cheo cha kisiasa....


Hicho chuo cha Tabora kinatoa taaluma ya Uhadhiri au secretarial courses.....
 
Habari zenu wadau,

Naomba kwa anaefahamu sifa za kujiunga na vyuo vya ualimu wa shule za msingi kwa sasa anifahamishe. Nahitaji kufahamu alama za ufaulu zinazotakiwa.

Shukrani.
 
Ufaulu kiwango cha credit matokeo ya 2014 o level au division 3 miaka ya nyuma.
 
utaratbu hajatolewa kuhus vgezo vya kujiunga na vyuo vya ualm tustoe taarfa uszokuwa nazo uahkka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…