Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

kwa aliyemaliza kidato cha nne anatakiwa we na angalau div 4 ya 26 na kuendelea
sifa za division four zilishafutwa tangu enzi za Kawambwa. acha kumdanganya. kwanza yy hataki form 4, anataka form 6 ndio maana akasema diploma.
 
Hakuna astashahada ya ualimu wote wanaanzia diploma ambayo ni three yrs .kwa higher diploma ndo mnahiita kutokea form six sifa wote wanafanana lazima olevel upate div 3 Na kuendelea.

Kwa higher diploma ambayo now wanatoa kwa math Na science basi unatakiwa o levl three Na advance 3.0
 
Hakuna astashahada ya ualimu wote wanaanzia diploma ambayo ni three yrs .kwa higher diploma ndo mnahiita kutokea form six sifa wote wanafanana lazima olevel upate div 3 Na kuendelea .kwa higher diploma ambayo now wanatoa kwa math Na science basi unatakiwa o levl three Na advance 3.0

mkuu lakin ndalchako alisha badil utaratibu kwa aliyetoka kidato cha nne hakuna kuanzia na stashahada ataanza Astashahada, vp au kunamabadiliko
 
Kweli kaka
Dada yangu naomba uwe mpole tu kwasasa. Mwezi wa 11 mwaka jana, wizara ya elimu ilitoa waraka namba 5, ambao ni "muongazo wa utekelezaji programu za mafunzo ya ualimu", ila bahati mbaya kwa kipindi kile haikutoa sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu, badala yake ikasema wizara itatoa maelekezo ya sifa za kujiunga na ualimu.
upload_2017-2-9_17-9-14.png

Bahati mbaya pia mpaka sasa NACTE hawajatoa guidebooks kwa upande wa kozi za ualimu. wametoa guidebooks za kozi zote isipokua ualimu. Ukiingia ktk website ya NACTE (japo kwasasa mtandao unasumbua), utathibitisha hili kua NACTE wametoa vitabu vya muongozo ktk kozi zote isipokua ualimu. Nadhani hawajatoa kitabu cha muongozo kwa upande wa kozi za ualimu kwasababu hawajapokea maelekezo kutoka wizara ya elimu juu ya sifa za kujiunga na ualimu kwasasa.

Tuvute subira. Wizara ya elimu wakitoa sifa mpya, wote tutazifahamu haraka kwani huu ni wakati wa dijitali. watu tunauma maneno kwakua wote hatuzijui sifa mpya.
 
Habari nduguzanguni,

Naomba kujua kwa anaejua sifa za kujiunga/mwombaji anayehitaji kusomo chuo cha maji mfano:Ubungo n.k[emoji120]

Kwa kozi za shahada na stashahada/certficate and diploma
 
uwe na ufahuru wa C moja na D mbili kati ya masomo haya: Physics, chemistry, biology, math na geography. ila muhimu zaidi usiwe na F ya math.
course zipo tano: hydrology and meteorology, hydrogeology and water well drilling, water lab technology, irrigation eng, na water supply and sanitation eng.

izo mbili za engineering (irrigation na water supply) zinataka ufahuru wa masomo ya Phy, chem, math, na Geog. physics muhimu.

iyo ya water lab, chem, bio, geog,

hydrology na hydrogeology, geog, chem, math

application zote zinafanyika NACTE

sorry nimeandika vibaya kama hujaelewa uliza hapa hapa
 
Wakuu naomba mnisaidie ili swali..eti ni kwamba wale wanaochaguliwa na serikali kwenda vyuo vya ufundi wanatakiwa wamepata mwisho division one?
 
Wakuu naomba mnisaidie ili swali..eti ni kwamba wale wanaochaguliwa na serikali kwenda vyuo vya ufundi wanatakiwa wamepata mwisho division one?
sometimes ni bahati ya mtu,lakin sikuhiz wanaojaza chuo direct wameongezeka so competition imekuwa kubwa bila ya div 1 inakuwa ngumu
 
hata mimi jaman masomo yangu yote ni c,kasoro physics ambayo ni D sijui naweza soma electrical engineering pale dit
 
Hapa wanachukua point 9 katika masomo ya phz, chemistry, na math, kwa indirectly entry now imefutwa,,
 
Sorry matokeo yangu ya kidsto cha 4 ni
Chem C
Bios C
Geo C
Phy E
Maths E
Naweza apply corse gani kwa ngazi ya diploma?
 
uwe na ufahuru wa C moja na D mbili kati ya masomo haya: Physics, chemistry, biology, math na geography. ila muhimu zaidi usiwe na F ya math.
course zipo tano: hydrology and meteorology, hydrogeology and water well drilling, water lab technology, irrigation eng, na water supply and sanitation eng.

izo mbili za engineering (irrigation na water supply) zinataka ufahuru wa masomo ya Phy, chem, math, na Geog. physics muhimu.

iyo ya water lab, chem, bio, geog,

hydrology na hydrogeology, geog, chem, math

application zote zinafanyika NACTE

sorry nimeandika vibaya kama hujaelewa uliza hapa hapa
Hiyo corz ya hydrology&meteorology inahusu nin?!
Na vip ajira zake ni uhakika au?!
Na pia unaweza kuajiriwa wapi?!
Je,naweza kuchukua bachelor ya meteorogy nikifikia kiwango cha bachelor?!

NB: Nauliza hivyo manake nimepangwa hiyo corz,nimemaliza 4m 4 mwaka jana msaada wako plz
Na viwango vyangu vilikuwa ni
Phz B chem B mathe B bios A geo C
 
uwe na ufahuru wa C moja na D mbili kati ya masomo haya: Physics, chemistry, biology, math na geography. ila muhimu zaidi usiwe na F ya math.
course zipo tano: hydrology and meteorology, hydrogeology and water well drilling, water lab technology, irrigation eng, na water supply and sanitation eng.

izo mbili za engineering (irrigation na water supply) zinataka ufahuru wa masomo ya Phy, chem, math, na Geog. physics muhimu.

iyo ya water lab, chem, bio, geog,

hydrology na hydrogeology, geog, chem, math

application zote zinafanyika NACTE

sorry nimeandika vibaya kama hujaelewa uliza hapa hapa
Ooh ndugu hiv hiyo course ya water lab ninaweza kuisoma kwel kwa results yang, mana nina PHY D, chemistry d, geo c, math F, pia nahitaji mawasiliano rahic ya chuo mana no waloiweka pale ina ugumu kidgo, nisaidie tadadhar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari ya jumapili;
Kama kichwa cha habari kinachoeleza Mimi nataka kusoma diploma ya Sheria lakin sijajua vigezo vinavyohitajika ili niweze kuapply na kujiunga na masomo hayo.

Aidha Mimi ninafahamu chuo kimoja tu cha diploma ya Sheria ambacho ni (IJA) kilichoko Tanga.

So naomba km kuna vyuo vingne mnisaidie kunijuza.
Naombeni msaada wenu wakuu.
 
Back
Top Bottom