Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Wakuu habari ya jumapili;
Kama kichwa cha habari kinachoeleza Mimi nataka kusoma diploma ya Sheria lakin sijajua vigezo vinavyohitajika ili niweze kuapply na kujiunga na masomo hayo.
Aidha Mimi ninafahamu chuo kimoja tu cha diploma ya Sheria ambacho ni (IJA) kilichoko Tanga.
So naomba km kuna vyuo vingne mnisaidie kunijuza.
Naombeni msaada wenu wakuu.
We uko wapi na unataka usomee wapi na ili usome dip lazima uanze na certificate in law so mim ni mwanafunz WA certificate Ubuntu k mwnza km una nia nikutmie za principal WA chuo
 
Na uwe umemaliza kidato cha nne au six ufaulu kuanzia angalau D 4 kuendelea, chuo kipo MWANZA ni chuo bora sana kwa kanda ya ziwa kinaongoza .
 
We uko wapi na unataka usomee wapi na ili usome dip lazima uanze na certificate in law so mim ni mwanafunz WA certificate Ubuntu k mwnza km una nia nikutmie za principal WA chuo
Plz tuweke namba hizo tuweze kuwasiliana naye maana tuko wengi tunaitaji kusoma sheria
 
ila mbona IJA siku hizi hawaajiriwi tena mahakamani kama mwanzo ?siku hizi wanaajiriwa wap mkuu
Vpo vingi tu ndugu ila IJA is the best maana ni chuo cha usimamizi wa mahakama kipo strict kiasi bila msuli uneza graduate within a year mkuu.
 
We uko wapi na unataka usomee wapi na ili usome dip lazima uanze na certificate in law so mim ni mwanafunz WA certificate Ubuntu k mwnza km una nia nikutmie za principal WA chuo
Ivyo vyuo vya kijinga jinga unataka mwenzako apotee sio? Mara Ubuntu mara Tandabui
 
Usilo lijua bwana, Ubuntu inaongoza kanda ya ziwa kwa kufundisha Nina ushahidi, km hujui unanyamaza usiseme vyuo vya kijinga usifuate ukubwa wa chuo au mob ya watu angaria kile unacho vuna .no ya sim hii hapa 0768 853 050. mwenye nia ya kusoma sheria, na lazima MTU ufanye utafiti make ni uamzi wa MTU.
 
Diploma ni miaka miwili sasa atawezaje graduate within a year?

Labda hujanielewa point yangu mkuu, ila rudia kusoma nilichoandika utaipata mantiki yangu ndugu.

Kifupi nimemwambia IJA pazuri ila asiposoma ata disco (ata graduate within a year)
 
Usilo lijua bwana, Ubuntu inaongoza kanda ya ziwa kwa kufundisha Nina ushahidi, km hujui unanyamaza usiseme vyuo vya kijinga usifuate ukubwa wa chuo au mob ya watu angaria kile unacho vuna .no ya sim hii hapa 0768 853 050. mwenye nia ya kusoma sheria, na lazima MTU ufanye utafiti make ni uamzi wa MTU.
Eti Ubuntu...ubuntu si programe gani sijui ya computer? Bora mngekiita Chato College au JPM college...

Btw iyo ni takataka kama takataka nyingine tandabui, amazon, global college sijui nini

Mtu akasome chuo chenye "kutambuliwa" na serikali bana sasa Ubuntu dah
 
We uko wapi na unataka usomee wapi na ili usome dip lazima uanze na certificate in law so mim ni mwanafunz WA certificate Ubuntu k mwnza km una nia nikutmie za principal WA chuo
Endelea kumpiga debe RAPHAEL KAMULI atakupunguzia adacukimletea wateja!!
 
Diploma in law kigezo chake kumaliza form6 na kuwa na atleast principle1 au certificate ya sheria ,vyuo vya diploma ya sheria ukiacha IJA, vipo vingi kma Mzumbe ,Tumaini DSM na Makumila ,Kuna Azania DSM ,kuna Secumo ,Tanga kuna mzumbe Mbeya ,Kuna Sauti ,Mwanza ,kuna Ruaha na Tumaini Iringa Nk
 
Form four mwenye credit pass 5 pia anafanya diploma hiyo.
 
ila mbona IJA siku hizi hawaajiriwi tena mahakamani kama mwanzo ?siku hizi wanaajiriwa wap mkuu
Unamaanisha mahakama zipi? Mbona makarani wanaajiriwa hao hao. Siku hizi hakuna mahakimu wa diploma, wanaajiriwa degree waliohitimu Law School.
 
Wakuu habari ya jumapili;
Kama kichwa cha habari kinachoeleza Mimi nataka kusoma diploma ya Sheria lakin sijajua vigezo vinavyohitajika ili niweze kuapply na kujiunga na masomo hayo.
Aidha Mimi ninafahamu chuo kimoja tu cha diploma ya Sheria ambacho ni (IJA) kilichoko Tanga.
So naomba km kuna vyuo vingne mnisaidie kunijuza.
Naombeni msaada wenu wakuu.
kama sikosei unatakiwa uwe umefaulu form six. Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) • Instagram photos and videos
 
Wakuu habari ya jumapili;
Kama kichwa cha habari kinachoeleza Mimi nataka kusoma diploma ya Sheria lakin sijajua vigezo vinavyohitajika ili niweze kuapply na kujiunga na masomo hayo.
Aidha Mimi ninafahamu chuo kimoja tu cha diploma ya Sheria ambacho ni (IJA) kilichoko Tanga.
So naomba km kuna vyuo vingne mnisaidie kunijuza.
Naombeni msaada wenu wakuu.
Ruaha Catholic university
 
Back
Top Bottom