Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Kwa kiufupi huwezi kufanya chochote katika fani ya uandishi wa habari bila cheti.Kama unataka fanya QT miaka 2 upate cheti cha form 4 baada ya hapo utatafuta chuo cha uandishi wa habari ngazi ya diploma au cheti.Kisha ndoto yako itatimia.Bila cheti elimu ya Bongo huwezi kutoboa.
Hapana nataka nifanye kazi na mashirika kama TBC na mengine mengi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kiufupi huwezi kufanya chochote katika fani ya uandishi wa habari bila cheti.Kama unataka fanya QT miaka 2 upate cheti cha form 4 baada ya hapo utatafuta chuo cha uandishi wa habari ngazi ya diploma au cheti.Kisha ndoto yako itatimia.Bila cheti elimu ya Bongo huwezi kutoboa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio elimu ya QT naweza kuipataje ?
 
Simfahamu Mimi nilisoma pale olevel 2012_2014 afu nikapiga tena advance mwaka 2016 kipindi hicho Kuna kina teacher tom kabla hawajaenda kuanzisha center yao
Anhaa! Huyo Dickson Kubabigamba
Alikua anafundisha geography na pia ni mmoja wa waanzilish wa hiyo centre alikua pia mwalimu mkuu wa shule moja ipo kivule inaitwa Mesac Sec school
 
Itakua alihama maana Kuna story niliiskia kua waanzilishi wa hiyo center walikorofishana wengine wakaondoka
 
Back
Top Bottom