Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Mimi nina form four mwaka 2012...
Phy D,
Bios D ,
Geog D,
Kisw D,
Civ D,
Hist F,
Eng F,
Math F,
DIV IV-30

NIKARESEAT 2014
Eng B,
Hist D,
Kisw D,
Civ D,
Geog D,
Chem F,
Math F,
(PASS)

Kwa Matokeo haya naweza soma course gani ndugu zangu....? Maana tangu mwanzo nilikuwa napenda masomo ya sayansi ila ndo ivo..
vya kusomea n vingi,,ww unapenda kusomea nn?
 
Nimesoma katika chuo kilichosajiliwa na veta nimepata certificate ya tourism management and wildlife je naweza kujiunga na vyuo vingine ili kupata diploma?
kwa fan ya umeme inawezekana ila kwa tourism sna uhakka. jaribu kuingia website ya chuo chochote uangalie MEQ(minimum entry qualification) zao
 
Selection za waliochaguliwa kwa kusoma kozi za afya kwa walio omba NACTE 2020/2021 zinatoka lini?[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Selection za waliochaguliwa kwa kusoma kozi za afya kwa walio omba NACTE 2020/2021 zinatoka lini?[emoji120][emoji120][emoji120]
Soma hiyoo
Screenshot_2020-08-30-20-10-32.jpg
 
Wakuu nauliza Kama maombi ya kuomba diploma muhimbili yamefunguliwa.

Nataka kuomba diploma in radiography, kwa ufaulu wangu huu naweza chaguliwa!?

Biology-B
Physics-B
Chemistry-B
English-B
Kiswahili-B
Mathematics-C
Geography-C
History-C
Civics-C.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
 
Wakuu nauliza Kama maombi ya kuomba diploma muhimbili yamefunguliwa.

Nataka kuomba diploma in radiography, kwa ufaulu wangu huu naweza chaguliwa!?

Biology-B
Physics-B
Chemistry-B
English-B
Kiswahili-B
Mathematics-C
Geography-C
History-C
Civics-C.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Unapata....
 
Jamani napenda kuuliza, mbona NACTE waliruhusu waombaji sekta ya afya tu na sayansi je wale ambao wanataka kusoma masomo ya biashara na ualimu maombi ya vyuo yanafanyikaje?
 
Wakuu nauliza Kama maombi ya kuomba diploma muhimbili yamefunguliwa.

Nataka kuomba diploma in radiography, kwa ufaulu wangu huu naweza chaguliwa!?

Biology-B
Physics-B
Chemistry-B
English-B
Kiswahili-B
Mathematics-C
Geography-C
History-C
Civics-C.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Hapo unapata ila kwa ushauri wangu ungejaribu pia na CUHAS apo Bugando utakuwa na uwanja mpana wa kupata chuo kizuri kwa course yako
Kila la kheri
 
Jamani mimi Nina "d" nne za arts bila mathematics na nina hitaji kupata chuo kizuli cha ict mnaweza kunisaidia kujua ni chuo kipi kita faa na kuendana na ufaulu wangu
 
Nataka kujua kama chemia c bios c phycs d unaweza soma PCB au chemia c math c phycs d unaweza soma pcm advance government msaada jaman
Unaweza pcm na kombi zengine...pcb minimum point ni tisa(9)...
Ukiwana chini ya point tisa ......alafu ukaforce mazara yake nikua system itagoma kukusajili kwaajili ya mtihani wa kuhitumu kidato cha sita...



na pia hatakama umefikisha point tisa au zaidi ila hauna atleas "D" tano kwenye masomo yako ya o'level...hawataka kuchagua PCB kwasababu ukifika chuo utakosa Qualification ya kusoma kozi za afya hatakama unapata division 1.3


Ila HABARI NZURI NIKWAMBA
Mofumo ya tanzania ipo so strictly,UNAWEZA JIONA KUA HAUJA FIKIA MINIMUM POINTS..ila ukienda nchi zengine ukapata nafasi...
#ushauri..kama utawiwa tafuta #Scholarship za kusoma #hingschool au #diploma..tena zipo full funded bas tu vile nchi yetu #wanafunzi_hatukurusiwaga_kutumia_simu
 
Msaada jamani kwa haya matokeo

History F
B/math F
Physics F
Civics C
Geography C
Chemistry C
Biology C
Kiswahili C
English C

Ni kozi gani anaweza soma chuo
 
Jamani nimemaliza four 4 na div 1.11 ila skusoma phy chem commerce na bkeeping natak niend chuo kozi ghan nzr yenye ajira nayoweza soma
 
Mimi naitwa Salma Chacha, tangu utoto wangu nimekuwa na ndoto ya kuwa rubani katika maisha yangu. Matokeo yangu ya kidato cha nne (CSEE) ya mwaka 2020 nilifaulu kwa alama zifuatazo:
B/Mathematics A, Geography A, Chemistry A, Biology B, English A n.k nikiwa na Div One ya 8
Maswali:

1. Je naweza kujiunga na chuo cha urubani kwa kutumia cheti cha O level kwa kozi ya cheti kisha diploma na kuendelea?

2. Je, hapa nchini kuna chuo kinachotoa mafunzo ya kozi ya urubani na kiko wapi?

3. Je naweza kusoma A level comb ya PCM na bado nikawa na sifa ya kusomea urubani au lazima nisome PGM kama wengi wanavyonishauri?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Jaribu CBG, Eagles High School Bagamoyo www.eaglessecondary.com. Maths itakutesa kidogo kwa vile ACSEE mostly ni mathematical, itabidi usome pia BAM rasmi na CIT kwa muda wako. Unahitaji pia Counselling kufahamu how come C na B na G pamoja na lugha una matokeo mazuri kabisa uhamasishwe kuzipenda pia hard sciences
 
Back
Top Bottom