NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Huko hata kama hauna vyeti unazama tu,mpaka sasa wapo waandishi wa hovyo sana tena maarufu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nataka nikiifanya uandishi niwe na sifa za kufanya kazi popote sitaki za kiswahiliHuko hata kama hauna vyeti unazama tu,mpaka sasa wapo waandishi wa hovyo sana tena maarufu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana nataka nifanye kazi na mashirika kama TBC na mengine mengi
hapana nataka nifuate maadili ya uandishi wa habariSasa kama huna cheti hata kimoja, we si utatangaza corona ni almasi inayopingwa
Hapana nataka nifanye kazi na mashirika kama TBC na mengine mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio elimu ya QT naweza kuipataje ?Kwa kiufupi huwezi kufanya chochote katika fani ya uandishi wa habari bila cheti.Kama unataka fanya QT miaka 2 upate cheti cha form 4 baada ya hapo utatafuta chuo cha uandishi wa habari ngazi ya diploma au cheti.Kisha ndoto yako itatimia.Bila cheti elimu ya Bongo huwezi kutoboa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio elimu ya QT naweza kuipataje ?
Ungekua dar ningekuelekeza kituo ambacho ungeenda kusoma qt
Ungekua dar ningekuelekeza kituo ambacho ungeenda kusoma qt
Kuna kituo kipo banana karibu na magereza kinaitwa brother academy niliwahi kusoma tuition pale kipindi nipo secondary wanafundisha vizuri sana nawatu wanaosoma QT wengi wanafaulu
Banana ya wapi mkuu? Maana sku hizi kila miji mingi ina Mahal panaitea bananaKuna kituo kipo banana karibu na magereza kinaitwa brother academy niliwahi kusoma tuition pale kipindi nipo secondary wanafundisha vizuri sana nawatu wanaosoma QT wengi wanafaulu
Banana ya wapi mkuu? Maana sku hizi kila miji mingi ina Mahal panaitea banana
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamfahamu Ticha Dickson?Kuna kituo kipo banana karibu na magereza kinaitwa brother academy niliwahi kusoma tuition pale kipindi nipo secondary wanafundisha vizuri sana nawatu wanaosoma QT wengi wanafaulu
Simfahamu Mimi nilisoma pale olevel 2012_2014 afu nikapiga tena advance mwaka 2016 kipindi hicho Kuna kina teacher tom kabla hawajaenda kuanzisha center yaoUnamfahamu Ticha Dickson?
Anhaa! Huyo Dickson KubabigambaSimfahamu Mimi nilisoma pale olevel 2012_2014 afu nikapiga tena advance mwaka 2016 kipindi hicho Kuna kina teacher tom kabla hawajaenda kuanzisha center yao
Itakua alihama maana Kuna story niliiskia kua waanzilishi wa hiyo center walikorofishana wengine wakaondokaAnhaa! Huyo Dickson Kubabigamba
Alikua anafundisha geography na pia ni mmoja wa waanzilish wa hiyo centre alikua pia mwalimu mkuu wa shule moja ipo kivule inaitwa Mesac Sec school