Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika na hiyo kitu ninachojua ukimaliza form four ni lazima usome kwanza certificate ndo uende diploma ingawa kuna wengine huwa wanawaambia unasoma diploma lakini unakuwa unasoma miaka mitatu yaani mwaka wa kwanza unasoma basic certificate mwaka wa pili Technician Certificate na wa tatu ni Ordinary Diploma
Wadau nilikuwa nauliza hivi, inawezekan mtu kamaliza kidato cha nne mwenye daraja la tatu kujiung na stashahada moja kwa moja?
Nasikia st. John Dodoma wanatoa hiyo, inawezekana kweli?
kweli kabisa mkuu.hio ni marketing strategy kuwavutia wateja!
utaambiwa diploma kwa miaka mitatu, utafurahi bila kujua kuwa mwaka wa kwanza ni kwa ajili ya certificate halafu miwili ni kwa ajili ya diploma yenyewe!
hio ndo marketing.. kuna njia nyingi sana za kumkamata buyer wa product yako!
utakuja kuelewa kilichofanywa baada ya kujiunga na chuo na kulipa ada yao!
mission completed!
kweli kabisa mkuu.
achana na short cut fuata mtiririko itakuja kukucost baadae kwenye ajira
we shida yako ni ajira au ajira bora ,let say diploma ukawa dereva wangu nimimi bosi wako,au mi IT manager nina degree na wewe una diploma ukawa computer technician,labda uende kwenye siasa ambako hawaangalii hayo mambohivi mtu wa diploma na yule wa degree, yupi ni mwepesi wa kupata jira haraka?
toa na sababu..
we shida yako ni ajira au ajira bora ,let say diploma ukawa dereva wangu nimimi bosi wako,au mi IT manager nina degree na wewe una diploma ukawa computer technician,labda uende kwenye siasa ambako hawaangalii hayo mambo
so unataka huyu aendelee kuajiriwa milele huo ni uoga soma kwa mtiririko sahihi kuunga unga kuna lata picha flani hivi huko mbele ya safarikijana umekurupuka.. hujanielewa kabisa!
referring to the economy of Tanzania.. Employers wengi wanaangalia less payment with greater production.
mtu wa degree kawaida huwa anakuwa katika management compared na yule wa diploma ambae ni mfanyakazi mkuu katika operational management.
compare gharama za kumlipa mtu wa diploma na yule wa degree halafu angalia productivity zao.
kijana umekurupuka.. hujanielewa kabisa!
referring to the economy of Tanzania.. Employers wengi wanaangalia less payment with greater production.
mtu wa degree kawaida huwa anakuwa katika management compared na yule wa diploma ambae ni mfanyakazi mkuu
katika operational management.
a
compare gharama za kumlipa mtu wa diploma na yule wa degree halafu angalia productivity zao.
mkuu watu hawaelewi nini maana ya marketing strategies!
kuna watu wakiambiwa kwamba kuna degree ya miaka sita baada ya kumaliza form four, watakimbilia tu bila kufanya reasoning!
kumbe hiyo ndiyo njia sometimes halali kabisa, na kama kuna utofauti basi ni kidogo sana!!
miaka sita means diploma mitatu then bachelor mitatu kwa course za biashara na baadhi za science.