Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
JF kwa kweli hongereni sana timu nzima ya wakandarasi wa mtandao huu pendwa.
Licha ya kwamba JF imekuwa jukwaa huru, lakini hawa platinum members kwa kweli wamekuwa ni watu wa maana kabisa.
Ukiona mtu kama Kiranga au Mshana Jr ana comment kwenye mada yako basi ujue kwamba hiyo mada ni ya moto kweli kweli.
Ingawa sometimes wana misimamo yao kuhusu mambo tofauti haswa kwenye dini. Ila kwakweli #Platinum member wa jamiiforum ni watu wa maana sana.
NB: tuanze sasa kumpigia kura rikiboy mzee wa #Tundakimasihara mada yake iingie kwenye mada bora outstanding toka JF ianzishwe.
Nawasilisha.