Asante mkuu,JF kwa kweli hongereni sana timu nzima ya wakandarasi wa mtandao huu pendwa.
Licha ya kwamba JF imekuwa jukwaa huru, lakini hawa platinum members kwa kweli wamekuwa ni watu wa maana kabisa.
Ukiona mtu kama Kiranga au Mshana Jr ana comment kwenye mada yako basi ujue kwamba hiyo mada ni ya moto kweli kweli.
Ingawa sometimes wana misimamo yao kuhusu mambo tofauti haswa kwenye dini. Ila kwakweli #Platinum member wa jamiiforum ni watu wa maana sana.
NB: tuanze sasa kumpigia kura rikiboy mzee wa #Tundakimasihara mada yake iingie kwenye mada bora outstanding toka JF ianzishwe.
Nawasilisha.
Hatari sana mzeeAsante mkuu,
Mbona kama unataka kuninyima uhuru wa kuingia mada za kimasihara mkuu? πππ
Mimi nipo kotekote tu kulingana na mood usishangae siku ukanikuta nawa serenade watu hapa kwenye mada za comedy, mara Juma Lokole kapigana na Konde Gang kwenye ugomvi wa ku bet mapenzi ya Konde Boy na Kajala.
Halafu ukigeuka kidogo unanikuta nafanya Hegelian dialectic na immanent critique kwa logical fallacies naonesha nonnsequitur na ad hominem fallacy.
Kaka mkubwa kesho nina kikao na watendaji wa kata na vijiji Sasa haya maneno ya kingereza nayachukua sijui maana yake Ila nitayaunganisha kwenye hotuba yangu kuwakomoa tuAsante mkuu,
Mbona kama unataka kuninyima uhuru wa kuingia mada za kimasihara mkuu? πππ
Mimi nipo kotekote tu kulingana na mood usishangae siku ukanikuta nawa serenade watu hapa kwenye mada za comedy, mara Juma Lokole kapigana na Konde Gang kwenye ugomvi wa ku bet mapenzi ya Konde Boy na Kajala.
Halafu ukigeuka kidogo unanikuta nafanya Hegelian dialectic na immanent critique kwa logical fallacies naonesha no nsequitur na ad hominem fallacy.
β€β€β€ππ¨πͺπΏJF kwa kweli hongereni sana timu nzima ya wakandarasi wa mtandao huu pendwa.
Licha ya kwamba JF imekuwa jukwaa huru, lakini hawa platinum members kwa kweli wamekuwa ni watu wa maana kabisa.
Ukiona mtu kama Kiranga au Mshana Jr ana comment kwenye mada yako basi ujue kwamba hiyo mada ni ya moto kweli kweli.
Ingawa sometimes wana misimamo yao kuhusu mambo tofauti haswa kwenye dini. Ila kwakweli #Platinum member wa jamiiforum ni watu wa maana sana.
NB: tuanze sasa kumpigia kura rikiboy mzee wa #Tundakimasihara mada yake iingie kwenye mada bora outstanding toka JF ianzishwe.
Nawasilisha.
Hahaaa.Kaka mkubwa kesho nina kikao na watendaji wa kata na vijiji Sasa haya maneno ya kingereza nayachukua sijui maana yake Ila nitayaunganisha kwenye hotuba yangu kuwakomoa tu
Hawa wote ni wazee alafu na elimu zao ninazo kiganjani hata wa form six hayupo hata mmojaHahaaa.
Kuwa makini siku hizi kuna watendaji wa kata wana masters zao za mafungu watakuumbua.
Tuliokuwa back benches shule tunaomba maelezo kidogo juu ya hii picha mkuu.β€β€β€ππ¨πͺπΏView attachment 3178247
SubutuKwani Lucas Mwashambwa hajafikia hizi level?
Hii ni vimbwengo timeβ€β€β€ππ¨πͺπΏView attachment 3178247
HahahahKama haina malipo ya kazi gani sasa...
Unaona siiiifa kutuandikia meneno yasiyoeleweka.. eeh... wasomi bana..Asante mkuu,
Mbona kama unataka kuninyima uhuru wa kuingia mada za kimasihara mkuu? πππ
Mimi nipo kotekote tu kulingana na mood usishangae siku ukanikuta nawa serenade watu hapa kwenye mada za comedy, mara Juma Lokole kapigana na Konde Gang kwenye ugomvi wa ku bet mapenzi ya Konde Boy na Kajala.
Halafu ukigeuka kidogo unanikuta nafanya Hegelian dialectic na immanent critique kwa logical fallacies naonesha no nsequitur na ad hominem fallacy.
Vingereza vya dictionary eti uonekane kama nunda hivi kumbe chalii tuAsante mkuu,