Vigezo vya kuwa platinum member wa JF. Hivi huwa wanaangalia aina za mada au ukongwe wa member, Hongereni sana platinum members sijaona kilaza kabisa.

Vingereza vya dictionary eti uonekane kama nunda hivi kumbe chalii tu
Hivyo vingine wala si viingereza, ni vilatini.

Ila wewe hujui na huna interest ya kujua.

Which is OK.

Lakini pia unanijazia inferiority complex hapa kwa sababu hujui na hutaki kujua.

Which is not OK.

Lugha ushindwe kujua wewe, lawama unipe mimi?

Ushuzi ujambe wewe, lawama unipe mimi?
 
Sasa unataka wa monopolize hii forum kama CCM na Tanganyika?
Vipi kuhusu vichwa vipya au tuwasubiri hao wasiwepo tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…