Vigezo vya majiji makubwa Kwa mwanamke kuitwa Pisi Kali, vyawekwa wazi Rasmi!

Ohoo! Hivi Kwa Karne hii utaishije na mtu asiye na elimu Mkuu?
Elimu ni moja ya basic need Kwa Karne hii Mkuu. Labda kwenye familia za kizamani na zenye mpango wa kuendeleza kizazi chenye ujinga
Wasomi wa Sasa hivi wazazi wao hawakuwa wasomi,mke ambaye hakwenda shule ni mke Bora kuliko aliyeenda shule
 
7. Pisi kali havai wigi

8. Awe na ulimi mzito wa kuomba pesa na asiwe na mkono mwepesi kupokea pesa

9. Awe na mwendo wa maringo sio kutembea tu ilimradi kufika aendapo
[emoji23]
 
Wolper na kisauti chake kama Mdee anaingia kwenye orodha ya pisi kali?
 
Mtotoa mada ameshindwa ata kueka picha tukaona uyo anaetajwa kwa vigezo ivyo kweli yupo dunia au ndo wa kufikirika tu
 
Bila picha bado sana
 
Kumbe siku hizi sura siyo shape?
 
Uzi bila picha ni uzio.
Uzi bila picha bas hakuna jipya.

Vp wako ana vigezo hivyo au unakula matap tap
 
Nimeishia hapo kwenye upana wa uso sikio na sikio awe nch10 hadi 11 huo ni uso au mlango...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…