Vigezo vya majiji makubwa Kwa mwanamke kuitwa Pisi Kali, vyawekwa wazi Rasmi!

Ohoo! Hivi Kwa Karne hii utaishije na mtu asiye na elimu Mkuu?
Elimu ni moja ya basic need Kwa Karne hii Mkuu. Labda kwenye familia za kizamani na zenye mpango wa kuendeleza kizazi chenye ujinga
Wasomi wa Sasa hivi wazazi wao hawakuwa wasomi,mke ambaye hakwenda shule ni mke Bora kuliko aliyeenda shule
 
7. Pisi kali havai wigi

8. Awe na ulimi mzito wa kuomba pesa na asiwe na mkono mwepesi kupokea pesa

9. Awe na mwendo wa maringo sio kutembea tu ilimradi kufika aendapo
[emoji23]
 
Wolper na kisauti chake kama Mdee anaingia kwenye orodha ya pisi kali?
 
Wakuu Kwema!

Wanaume karibu wote Duniani hupenda wanawake wazuri, na hapa nazungumzia wazuri kikamilifu. Sio wakubahatisha!
Taikon nikaona nifanye uchunguzi ni kitu gani kinafanya mwanamke aitwe Pisi Kali, mtoto JoJo mzuri Kama Malaika.

Vifuatavyo ni vigezo vya wanawake kuitwa Pisi Kali katika majiji Makubwa na marksi ya kila kigezo;

1. Uzuri wa Umbo 20%
Mwanamke mwenye mpangilio Mzuri wa shepu, aliyegawanyika, mwenye mapaja, nyonga na matako makubwa yenye vipimo vifuatavyo,
i/ Kifua na matiti inchi 35-40
ii/ Tumbo inchi 30-35
iii/ Nyonga na matako inchi 42- 47
iv/ Mguu wa Bia uwe laini.

Kimo mwanamke anatakiwa awe mrefu kuanzia Futi 4.8 - futi 6 asiwe mfupi zaidi ya hapo wala mrefu zaidi ya hapo.
Ukisikia mwanamke anashepu basi sharti awe na vipimo hivyo. Kwa mafundi nguo wanaelewa nijazungumzia Jambo gani.
Mtu mwenye shepu yenye vipimo hivyo akivaa nguo yoyote unampendeza,

Shepu inavutia na kutufanya wanaume tupagawe, wanaume wengi tunapenda wanawake wenye nyama nyama, hasa nyama iwe laini, ndio maana wanawake wenye shepu wanatuchanganya.

2. Sura na Nywele nzuri 20%
Pisi Kali mara nyingi huwa na vinyuzi vya machoni vizuri, nywele za kuvutia n.k
Pisi Kali lazima iwe na Sura nzuri, hata hivyo Sura huchangia asilimia 30 tuu kufanikisha mwanamke aitwe Pisi Kali.
Sura ili iitwe Sura inajumuisha Uso, macho, pua, nyusi, midomo, mashavu, Meno, kope, n.k
Sasa tuje kwenye vipimo,
i./ urefu wa Sura tokea nywele zilipoishia kwenye paji la USO mpaka ukingo wa kidevu Inchi 8.5- 9.5.
Sio mwanamke awe na Uso mfupi au USO mrefu uliopitiliza.
Wanawake wenye Sura ndefu zilizoshuka chini Kwa vipimo hivyo wanasura zenye kuvutia ukichanganya na sifa zingine zinavofuata.

ii. Upana wa uso kutoka sikio mpaka sikio Inchi 10-11

iii. Upanda kutoka jicho na jicho inchi 4 - Inchi 4.5.

iv. Urefu WA pua kutoka juu kwenye macho Inchi 2 - 2.8 pua ikiwa imechongoka pasipo kutawanyika wala kwenda juu.

v/ unene wa mdomo inchi 1- inchi 1.5 sio lips ziwe ndogo Sana au kubwa zaidi ya hapo.
Urefu WA mdomo kutoka kushoto mpaka kulia uwe inchi 2 - 2.5. mdomo uwe mkubwa au mdogo zaidi ya hapo.

vi. Kidevu kiwe kirefu angalau inchi 1 - Inchi 1.3 mwanamke hapaswi kuwa na kidevu kirefu Kama MWANAUME.
Wanaume ndio wenye videvu virefu ambavyo huanzia inchi 1.5 - inchi 2.

Vii. Meno yaliyopangika vizuri ili kuiweka Sura vizuri.

VIII/ macho makubwa kiasi meupe na weusi kiasi.

Sifa za ziada ni Kama Madimpo, mwanamke anaweza kuwa na dimpo moja au Madimpo mawili kwenye mashavu yake.
Alama Kama vidoti pia wakati mwingine huongeza urembo hasa vikiwa aidha kwenye paji la uso au juu ya mdomo pembeni kidogo chini ya shavu.

Mpangilio Mzuri na uwiano wa vipimo vya viungo hivyo katika USO wa Mwanamke humfanya awe kwenye kundi la wanawake waitwao warembo.

3. Rangi 20%
Pisi Kali zinarangi Fulani amazing,
Msichana mwenye rangi nyeusi mtelezo,
Mwenye maji ya kunde iliyoiva, mwenye rangi maji ya kunde inayoenda kuwa nyeupe.
Asiwe mweupe kabisa.
Huyo atakuwa na rangi za pisikali.

4. Elimu 20%
Watu wanasema Wanachuo kuna watoto wakali Ila kimsingi elimu ndio inawafanya waonekane watoto wakali, pisi za Moto.
Pisi Kali ni sharti awe angalau anaelimu ya Diploma kuendelea. Chini ya hapo anakosa kigezo muhimu Sana.
Hivi mtu anawezaje kuwa Pisikali hata Chuo hajawahi kufika hiyo Kwa kweli haiwezekan,

Pisi Kali inavutia zaidi ikichanganya lugha za wasomi, Kwa hapa nchini lugha ya wasomi ni kingereza.
Haipendezi pisikali iongee lafudhi ya kijadi, haivutii na humshushia thamani yake.

5. Pesa. 10%
Ukisikia watoto wa wakishua wakali ujue pesa zao ndizo zinawabeba,
Kuna Raha mwanaume anaiona akimuona mtoto wa kike ndani ya Gari Kali, au Maeneo yakuvutia, au kwenye majumba makubwa Kama kasri.
Amini kuwa Msichana anaweza akawa mzuri lakini kitendo cha kuishi uswahili I kwenye ufukara kukamuondoa kwenye Pisikali za heshima.

6. Sauti nzuri 10%
Pisikali lazima iwe na sauti nzuri. Sauti nyororo,sauti ya kumtoa nyoka pangoni.
Mwanamke aongeaye sauti mbaya hafurahishi,

Hayo mambo sita na Asilimia zake ndizo huchangia mwanamke kuitwa pisikali, Msichana akishavuka Asilimia 70% yupo kundi la wanawake wazuri.

Msiende kujipima wala Kupima wake Zenu.
Kila mtu ni mzuri Kwa namna yake, lakini aiondoi ukweli kuwa wapo wazuri kuliko waliowazidi wengine uzuri.

Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.

Povu Ruksa
Mtotoa mada ameshindwa ata kueka picha tukaona uyo anaetajwa kwa vigezo ivyo kweli yupo dunia au ndo wa kufikirika tu
 
Bila picha bado sana
 
Kumbe siku hizi sura siyo shape?
 
Uzi bila picha ni uzio.
Uzi bila picha bas hakuna jipya.

Vp wako ana vigezo hivyo au unakula matap tap
 
Nimeishia hapo kwenye upana wa uso sikio na sikio awe nch10 hadi 11 huo ni uso au mlango...
 
Back
Top Bottom