Vigogo CHADEMA wadaiwa kukiuka amri ya mahakama, wafunguliwa kesi

Yes CCM wanatumia Said issa kama leverage ya kudai maridhiano sasa chadema tunaweza mtumie mke wake na watoto wake kama bait aondoe kesi.

Tukiwachekea nyie mtakuja kukifuta chadema kimatani matani tu. Yaani tungeanza na huyu, alafu Mchome tunge solve 70% ya changamoto za ndani ya chadema
Labda kama vyombo vya dola vitakuwa vimelala ndo mtafanikiwa huo ushetani mnaouwaza. Kwa fikra kama zako kamwe CHADEMA haitaingia ikulu.
 
Vyombo hivi hivi ambavyo kina Ali Kibao wanatekwa kwenye gari hadi kutolewa macho bila yeyote kukamatwa?

Vyombo mbona vimelala hadi serikali imejaa ufisadi tu? Yaai vilikua wapi kuzuia meli ya wauza madawa ya kulevya kutumia registration ya Tanzania? Vilikua wapi kuzuia mabilion kuibiwa halmashauri? Vilikua wapi kuzuia mfumuko wa deni la taifa lisilohimilika??

Hatuna vyombo vya dola ni vyombo vya CCM. Trust me polisi hao hao wakipewa bahasha na kada wa chadema wanaifanya hiyo kazi.
 
Jaribu kufanya hicho unachohamasisha ili ujue kama vimelala au havijalala.
 
CCM ingejua kuwa jinsi wanavyoisumbua CHADEMA wanaipa matangazo ya bure wangeachana na huu ujinga.
Chama kikuu cha upinzani lazima kiwe aggressive, kiogopwe, kila tukio la kukikandamiza lazima liwe na reaction ambayo mtu yeyote anayetaka anayetaka kufanya afikirie mara mbili kabla ya kufanya tukio lolote. Kulialia tu ccm, ccm... hakutasaidia. Serikali ikinyanyase, hata watu binafsi!? Hawa individuals ni lazima wapenzi wa chama wadeal nao. CCM mbali ya kuwa serikali inawasaidia lakini hawajaacha kudeal na watu binafsi ambao watumia platform zao kutaka kukivuruga na ndio maana mpaka leo kimesimama hawjawaachia polisi peke yao. Chadema hivi vijitu vinavyotumiwa na ccm kukuvurugeni kuleni nao sahani moja sio lazima mjionyeshe lakini meseji wawe wanapata. Hizo hela wanazopewa watazikimbia tu. Mtu ataona heri akauze karanga kuliko kusubiri hela za kuivuruga chadema.
 
Vyombo hivi hivi ambavyo kina Ali Kibao wanatekwa kwenye gari hadi kutolewa macho bila yeyote kukamatwa?

Vyombo mbona vimelala hadi serikali imejaa ufisadi tu? Yaai vilikua wapi kuzuia meli ya wauza madawa ya kulevya kutumia registration ya Tanzania? Vilikua wapi kuzuia mabilion kuibiwa halmashauri? Vilikua wapi kuzuia mfumuko wa deni la taifa lisilohimilika??

Hatuna vyombo vya dola ni vyombo vya CCM. Trust me polisi hao hao wakipewa bahasha na kada wa chadema wanaifanya hiyo kazi.
Na wataifanya vizuri. Kwani hawa watekaji wa wafuasi wa chedema udhani wote wanaamrishwa na makamanda wao, wengine wanapewa hela na watu tu, wafanye wanayo yafanya.
 
Chadema tunafeli wapi? Kwani said issa hana mke na watoto? It's about time tuwe aggressive kama enzi za Dr slaa na mabere marando!! Tulidhibiti sana element za namna hii otherwise chama kingekufa tokea 2013
SAHIHI KABISA!!!!!!!! JINO KWA JINO.
 
Jaribu kufanya hicho unachohamasisha ili ujue kama vimelala au havijalala.
Sio nifanye, tunawahonga hao hao polisi wakafanye. Wakisikia mtu wa chadema katekwa unadhani watafanya uchunguzi? Si wataona ni halali tu? Kwani uchunguzi wa kibao ulifanyika hadi leo?

Mmetufanya ni raia wa daraja la pili, its high time we change our strategy and play your game
 
Jaribu kufanya hicho unachohamasisha ili ujue kama vimelala au havijalala.
One has been eliminated, na umeona muelekeo wa kesi ulivyo? Zuio limeshaondolewa na sasa kesi inasikilizwa juu ya statutes of limitation ya miaka 6.

Nlikuambia humu haya mambo bila kutumia mbinu za CCM hatutoelewana. Na huyo Said Issa is next
 
Back
Top Bottom