Vigogo wa CCM na watoto wao wanajipongeza tuu na ubunge wa viti maalum

Son of Israel from Africa

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
2,006
Reaction score
2,963
Eeee nacheka kama mazuri

Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba .

Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum

Hadi mwisho ni mtot wa Kigogo wa juu hadi wa mtaa ndio wabungee .

Na kubwa zaidi ni nimeona tangazo la Jeshi la polisi kuwatafuta ndugu zetu wa CDM eti wamesababisha maandamano

Eee makubwa Sindano ni nzuri ikimchoma jirani lkn kwako ni chungu sana

Ni masikitiko tuuu

Machawa ruksaaa ,nitawapiga za usoo hamtaamini
 
Sasa wafanye nini 'tumeipenda wenyewe' tente [emoji47]
 
Viti 113 mpaka unajiuliza hawana majimbo kama sio kutumbua kodi zetu ambazo zingeelekezwa mahispitalini huko ni nini? 😏
 
Eeee nacheka kama mazuri

Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba .

Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum

Hadi mwisho ni mtot wa Kigogo wa juu hadi wa mtaa ndio wabungee .

Na kubwa zaidi ni nimeona tangazo la Jeshi la polisi kuwatafuta ndugu zetu wa CDM eti wamesababisha maandamano

Eee makubwa Sindano ni nzuri ikimchoma jirani lkn kwako ni chungu sana

Ni masikitiko tuuu

Machawa ruksaaa ,nitawapiga za usoo hamtaamini
Furaha yao ni ya muda mfupi.
Posho na mishahara hakuna
Uchaguzi utafutwa siku za karibuni
Maisha yao mtaani yatakuwa na vikwazo vingi.
Wataishi kama digidigi
 
Back
Top Bottom