Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini Liyumba hakupewa option ya kulipa faini? Haki iko wapi mahakama?
kwa aina ya viongozi hao tulio nao wanaoidhinisha posho za lak 7 kwa siku,Kwa mtindo huu ipo siku ikulu itakuja kuhamishwa na kujengwa nnje ya jiji,kupisha wawekezaji.Inamaana jengo hili lilijengwa huko china na mlipoamka asubuh mkalikuta lipo hapo.ACHENI SINEMA ZENU BWANA,JAJI UNGETANGAZA HAO VIGOGO WAMESHINDA TU KESI,Wananchi tungetulia tu na kungoja picha jipya.
soooryyy mwana unaweza ukatupa storyy kidogo juu ya the fff doj in related to the issue concern about candid to my country maaana umetudokeza juu ya hio novell na hatuna na tunapenda kuijuaushauri wa bure tu hilo gorofa upande wa juu wote wachukue family ya wana usalama wa taifa
Mie siwaelewi hakika. Kiwanja mali ya Uma. Mwekezaji kawekwa na Uma. Hakimu wa Uma. Kibali cha ujenzi kimetolewa na Uma. Notice ya kusimamisha ujenzi wakati kesi iko mahakamani imetolewa na Uma. Umeme umefungwa na Uma. Kila kitu kimebarikiwa na kuhalalishwa na Uma.
Unajua muache utoto... hivi mkoje?