Vigogo waanza kujitokeza kugombea uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kinondoni

Ikifika kwa chairman ile kauli yetu maarufu jaribu kuramba sumu kwa ulimi!
Mulitaka kusambaratisha Chadema kwa kutumia mamluku Zitto eti awe chairman mukashidwa,mukamfilisa kupora biashara zake,ubunge ,vurugu kila siku ,kumfunga jela mda wote Mwisho wasiku mkamfungulia kesi ya uhaini eti mumunyonge ila sir God akawakatalia yeye yupo around tuu...kweli KIPARA BILA AKILI NI SAWA TAKO!!
 
Ongeza na chacha wangwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…