Vigogo waanza kujitokeza kugombea uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kinondoni

Vigogo waanza kujitokeza kugombea uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kinondoni

Mulitaka kusambaratisha Chadema kwa kutumia mamluku Zitto eti awe chairman mukashidwa,mukamfilisa kupora biashara zake,ubunge ,vurugu kila siku ,kumfunga jela mda wote Mwisho wasiku mkamfungulia kesi ya uhaini eti mumunyonge ila sir God akawakatalia yeye yupo around tuu...kweli KIPARA BILA AKILI NI SAWA TAKO!!
Umeshasahau kuwa mzee Mbowe aligombea urais wa Tanzania akapata kura laki nane tu?
 
Sio alipata ila alishinda uchaguzi huwu ni mfano moja wakipumbavu wa lichama chakavu lenu
Makupa
Pole sana mkuu,endelea kupigana vita mliyoshindwa tayari chini ya mzee Mbowe -You are simply fighting a lost cause” kama hutaweza tafsiri mrushie Tundu Lissu akusaidie
 
Cha muhimu wasije wakajichanganya kuutaka uenyekiti wa CHADEMA taifa. Hiyo ni sumu hailambwi.
 
Nani hawajui CCM hadi leo ?

Ikiwa chama kinafanya siasa za wazi kabisa za makongamano , mikutano na maandamano , unawezaje kusema ni mbinu zisizo sahihi ?
Ni 'mbinu zisizo sahihi' ndio. Nafikiri ukichekecha hoja hii na ukitumia ubongo wako vizuri utakuwa umeanza kuelewa ninachomaanisha.
 
Back
Top Bottom