Jamani unaishi wapi. Hapa Arusha sukari haina wanunuzi pale sokoni sukari safi ya TPC inauzwa shs. 2200.00 na ile mbovu iliyoagizwa inauzwa shs. 1800.00 jana nimenunua kilo 20Hivi jamani ile sukari nyingi sana iliyoagizwa imefika au bado? Mbona kilo ya sukari bado ni sh. 3000?
Ya kweli hayo? Hata hivyo sukari ilikuwa ya nchi nzima na siyo ya AR peke yake.Jamani unaishi wapi. Hapa Arusha sukari haina wanunuzi pale sokoni sukari safi ya TPC inauzwa shs. 2200.00 na ile mbovu iliyoagizwa inauzwa shs. 1800.00 jana nimenunua kilo 20
Taarifa nilizozipata kutoka chanzo changu cha uhakika kutoka mjini Kahama ni kuwa vigogo watatu toka CHADEMA watajisalimisha CCM wakati wa ziara ya mwenyekiti mpya wa CCM mjini humo.
Aidha licha ya vigogo hao ambao wote ni wale waliokihama chama hicho mwaka jana pia maelfu ya wanachadema wa kawaida wanatarajiwa kurejesha kadi zao na kujiunga CCM mbele ya mwenyekiti mpya.
Watu hao wanadai kuwa hawaoni sababu ya kuendelea kuwa wapinzani wakati wapinzani siku hizi wanakumbatia na kutetea ufisadi kwa kisingizio cha demokrasia.
Kwakweli ziara hii ni msiba kwa CHADEMA.
Punguza unywaji wa viroba,vinaleta upofu.
Sawa mlevi mwenzanguPunguza unywaji wa viroba,vinaleta upofu.
Wewe na Tandale One nani mkubwa ?Taarifa nilizozipata kutoka chanzo changu cha uhakika kutoka mjini Kahama ni kuwa vigogo watatu toka CHADEMA watajisalimisha CCM wakati wa ziara ya mwenyekiti mpya wa CCM mjini humo.