Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitekenye na kujikojolesha mwenyewe kama kawaida yenu.Taarifa nilizozipata kutoka chanzo changu cha uhakika kutoka mjini Kahama ni kuwa vigogo watatu toka CHADEMA watajisalimisha CCM wakati wa ziara ya mwenyekiti mpya wa CCM mjini humo.
Aidha licha ya vigogo hao ambao wote ni wale waliokihama chama hicho mwaka jana pia maelfu ya wanachadema wa kawaida wanatarajiwa kurejesha kadi zao na kujiunga CCM mbele ya mwenyekiti mpya.
Watu hao wanadai kuwa hawaoni sababu ya kuendelea kuwa wapinzani wakati wapinzani siku hizi wanakumbatia na kutetea ufisadi kwa kisingizio cha demokrasia.
Kwakweli ziara hii ni msiba kwa CHADEMA.
Kwa hiyo wakitoka chadema na kurudi tena ccm wanakuwa oil mpya aisee kweli chadema wanatakasa wachafu ila tu wanawakata mikia
Kwani polisi wameruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?Tehetehetehe. Wakirudi CCM watapewa muda wa kukiimarisha chama kutokana na athari walizozisababisha
Saccos inawafia, maneno ya zitto yametimia.Sacco's ya majizi Chadema hali mbaya
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] asee
sasa hayo ndio muhimu kuhoji ajabu nyie mmekimbilia kujenga ukuta kwanza[emoji3] [emoji3] hayaa maandalizi mema sisi tutawaona kwa tv mkihangaika kwa mabomuHivi jamani ile sukari nyingi sana iliyoagizwa imefika au bado? Mbona kilo ya sukari bado ni sh. 3000?
Tusipomjengea ukuta atakimbia. Unajenga ukuta anakuwa ndani kisha unaanza kumhoji. Umeona ule ukuta aliyojengewa nyoka? Hawezi kutoka hata kama ni mjanja kiasi gani.sasa hayo ndio muhimu kuhoji ajabu nyie mmekimbilia kujenga ukuta kwanza[emoji3] [emoji3] hayaa maandalizi mema sisi tutawaona kwa tv mkihangaika kwa mabomu
Pyuuuuxxxxxx ng'ombe kasoro mkia....Taarifa nilizozipata kutoka chanzo changu cha uhakika kutoka mjini Kahama ni kuwa vigogo watatu toka CHADEMA watajisalimisha CCM wakati wa ziara ya mwenyekiti mpya wa CCM mjini humo.