Tetesi: Vigogo watatu na maelfu ya wanachadema Kahama kutimkia CCM

Taarifa nilizozipata kutoka chanzo changu cha uhakika kutoka mjini Kahama ni kuwa vigogo watatu toka CHADEMA watajisalimisha CCM wakati wa ziara ya mwenyekiti mpya wa CCM mjini humo.

Aidha licha ya vigogo hao ambao wote ni wale waliokihama chama hicho mwaka jana pia maelfu ya wanachadema wa kawaida wanatarajiwa kurejesha kadi zao na kujiunga CCM mbele ya mwenyekiti mpya.

Watu hao wanadai kuwa hawaoni sababu ya kuendelea kuwa wapinzani wakati wapinzani siku hizi wanakumbatia na kutetea ufisadi kwa kisingizio cha demokrasia.

Kwakweli ziara hii ni msiba kwa CHADEMA.
Siasa za kibongo ni njaa tupu.
 
Malaya wa kisiasa?
 
Mgeja maskini,kabaki jobless,hakika anajuta kuutema uenyekiti CCM kisa kumfuata Lowasa
 
Hawa ng'ombe wamekatwa mikia!! CDM watatumia mikia hiyo kufukuza nzi
 
Kwahiyo Chadema wana wafuasi maelfu huko mwanza ambapo baadhi ya hayo maelfu watahamia ccm wakati Raisi atavunja amri yake ya kutokufanya mikutano ya hadhara!

Watu wazima mnakubali kwenda kwenye UKUTA!
 
Na wao wameshawishiwa kwa muda mrefu kama Mpendazoe na Mngeja.? Maana bila kuwanunua haizekani mtu mwenye akili zake kurudi Ccm.
Ila pia hizi taarifa zinaweza kuwa umbeya wa soko kuu maana hata Dodoma tuliambiwa kungekuwa na wabunge kumbe wanarudi walio katwa mikia.
 
Taarifa nilizozipata kutoka chanzo changu cha uhakika kutoka mjini Kahama ni kuwa vigogo watatu toka CHADEMA watajisalimisha CCM wakati wa ziara ya mwenyekiti mpya wa CCM mjini humo.

Aidha licha ya vigogo hao ambao wote ni wale waliokihama chama hicho mwaka jana pia maelfu ya wanachadema wa kawaida wanatarajiwa kurejesha kadi zao na kujiunga CCM mbele ya mwenyekiti mpya.

Watu hao wanadai kuwa hawaoni sababu ya kuendelea kuwa wapinzani wakati wapinzani siku hizi wanakumbatia na kutetea ufisadi kwa kisingizio cha demokrasia.

Kwakweli ziara hii ni msiba kwa CHADEMA.
MAIGIZO YA CCM TUMESHAZOWEA HATA HATUSHANGAI
 
ndio maana hilo gari lenu namba T 000 CCM halitafika 2020 maana dereva analirudishia "oili chafu" kwenye injini halafu linabeba "pumba" kwa kudhania ni mchele.
 
Hivi haya maigizo mtayamaliza lini?
Hapo mmeshajipanga na watu wenu wa kununua na kadi fake.
 
Hivi jamani ile sukari nyingi sana iliyoagizwa imefika au bado? Mbona kilo ya sukari bado ni sh. 3000?
Sahau kuhusu hayo ya msingi mkuu.
CCM sio watekelezaji...
Wao wanachoangalia sasa hivi ni kuteka vyombo bus habari na kuongeleka midomoni mwa wananchi kila siku.
 
Hizi ni habari za kimajungu. Kama una uhakika, unatakiwa utaje nani na nani wanaenda CCM. Sisi wengine ndiyo tutakaosema kama hao ni vigogo au nyasi au fimbo au si chochote.

Unaposema maelfu ya wanachama kuhamia CCM, hayo ndiyo ni majungu hasa maana haijawahi kutokea hata mara moja tangu mfumo wa vyama vingi uanze ambapo maelfu ya wanachama wa upinzani walihamia CCM.
 
Back
Top Bottom