litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 731
- 1,378
Hali yenu ipoje wandugu zangu?
Kwa kweli, nikirudi nyuma mpaka era ya JPM, na nikirudi nyuma mpaka era ya Nyerere, napata picha kamili
Wengi wa wakazi (high government seniors) walioishi yale maeneo ya Upanga na Oysterbay ndiyo walioongoza kwa kutumbuliwa na JPM. Why?
Sababu kuu ni ubinafsi, kwamba hawakuwa na kitu. Na wengi walizaliwa kwenye umaskini na ufukara wa kutisha
Wengine walikuwa na funza zaidi ya 2000 na miguu iliharibika kwa funza Ila kwa huruma za Nyerere, akawapa bure fursa ya kwenda shule
Kisha akawapa ajira nono vitengo nyeti kwa kuwa hakukuwa na wasomi wengi at a time na nchi ilikuwa still poor
Cha ajabu watu hawa, waliwaneemesha watoto wao, na ofcoz siyo jambo baya na kusahau wengine
Walivunja madaraja ili wengine hususan watoto wa maskini waliokulia kwenye ufukara kama wao wasivuke na kuwa walipokuwepo wao(UBINAFSI).
NDO ile wanaita masikin ni maskini hata akiwa na 2 Tril coz umaskini upo kichwani na kwenye DAMU.
JPM alipoingia alipoingia alihuzunika sana, akaazimu kubalance mzani ili na wengine wanyonge wavuke darajani na wafike pale.
Akaanza kuwatumbua vigogo wengi na wengi walikufa kwa sababu hawakuamini kama wanarudi to zero.. Wengi stress, magonjwa ya moyo na pressure viliwaua
Hukuwa na kitu, umetoka kwenye ufukara wa kutisha, unapata bahati tu unasomeshwa na kupewa nyumba nzuri Msasani au OBay, na kupewa kitengo kizuri, unasahau yote na unasahau kuna wengine wana shida km wewe ulivyokuwa na wanatamani kuvuka, na wakuwavusha ni wewe.
Usivunje daraja, usiwe mbinafsi