litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 731
- 1,378
samia anafanya zaidi.Nashangaa mtanzania akimsifia rais wa kwanza kuanzisha standard ya kupasua nchi. JPM alianzisha kupendelea kwao chato maama akaendeleza na kizimkazi na unguja. JPM alijaza kanda ya ziwa serikalini tembelea wilayani uone wazanzibari walivyojaa. JPM aliweka binamu yake Biteko baraza la mawaziri mama kaweka mkwe Mchengerwa. Alichoanzisha JPM italicost taifa miaka 20-30 ijayo.
Si kweliNashangaa mtanzania akimsifia rais wa kwanza kuanzisha standard ya kupasua nchi. JPM alianzisha kupendelea kwao chato maama akaendeleza na kizimkazi na unguja. JPM alijaza kanda ya ziwa serikalini tembelea wilayani uone wazanzibari walivyojaa. JPM aliweka binamu yake Biteko baraza la mawaziri mama kaweka mkwe Mchengerwa. Alichoanzisha JPM italicost taifa miaka 20-30 ijayo.
Kwa hiyo Magufuli hakupendelea chato ? Magufuli hakujaza watu wa kanda ya ziwa serikalini ? Magufuli hakumpaa uwaziri ndugu yake Dotto Biteko ?Si kweli
Mafanikio yana tabia hizi chache mbaya kabisa.Hali yenu ipoje wandugu zangu?
Kwa kweli, nikirudi nyuma mpaka era ya JPM, na nikirudi nyuma mpaka era ya Nyerere, napata picha kamili
Wengi wa wakazi (high government seniors) walioishi yale maeneo ya Upanga na Oysterbay ndiyo walioongoza kwa kutumbuliwa na JPM. Why?
Sababu kuu ni ubinafsi, kwamba hawakuwa na kitu. Na wengi walizaliwa kwenye umaskini na ufukara wa kutisha
Wengine walikuwa na funza zaidi ya 2000 na miguu iliharibika kwa funza Ila kwa huruma za Nyerere, akawapa bure fursa ya kwenda shule
Kisha akawapa ajira nono vitengo nyeti kwa kuwa hakukuwa na wasomi wengi at a time na nchi ilikuwa still poor
Cha ajabu watu hawa, waliwaneemesha watoto wao, na ofcoz siyo jambo baya na kusahau wengine
Walivunja madaraja ili wengine hususan watoto wa maskini waliokulia kwenye ufukara kama wao wasivuke na kuwa walipokuwepo wao(UBINAFSI).
NDO ile wanaita masikin ni maskini hata akiwa na 2 Tril coz umaskini upo kichwani na kwenye DAMU.
JPM alipoingia alipoingia alihuzunika sana, akaazimu kubalance mzani ili na wengine wanyonge wavuke darajani na wafike pale.
Akaanza kuwatumbua vigogo wengi na wengi walikufa kwa sababu hawakuamini kama wanarudi to zero.. Wengi stress, magonjwa ya moyo na pressure viliwaua
Hukuwa na kitu, umetoka kwenye ufukara wa kutisha, unapata bahati tu unasomeshwa na kupewa nyumba nzuri Msasani au OBay, na kupewa kitengo kizuri, unasahau yote na unasahau kuna wengine wana shida km wewe ulivyokuwa na wanatamani kuvuka, na wakuwavusha ni wewe.
Usivunje daraja, usiwe mbinafsi
Hakunasamia anafanya zaidi.
na Kufa atakufa mapema zaidi.
ExactlyMafanikio yana tabia hizi chache mbaya kabisa.
Kiburi na Majivuno na Kusahau Background yako iliyokubeba kufika ulipo
Hakupendelea watu wa kanda ya ziwaKwa hiyo Magufuli hakupendelea chato ? Magufuli hakujaza watu wa kanda ya ziwa serikalini ? Magufuli hakumpaa uwaziri ndugu yake Dotto Biteko ?
Utajuaje? Why useme huna deni?Maimae pesa zangu nilizipata kwa kulima mpunga huko matumbi, sina deni wala kosa kwa ndugu zangu watz.
Ogopa sana mafanikioHakuna
Exactly
Magufuli alipendelea kanda ya ziwa mpaka scholarships zote za serikali zilikuwa ni wasukuma tu n wakikosekana wasukuma ni wakurya. Watu wa UDSM wanajua hili kama unamjua mtu anafundisha chuo muulize.Hakupendelea watu wa kanda ya ziwa
Magufuli alipendelea kanda ya ziwa mpaka scholarships zote za serikali zilikuwa ni wasukuma tu n wakikosekana wasukuma ni wakurya. Watu wa UDSM wanajua hili kama unamjua mtu anafundisha chuo muulize.
Sijaiba nilishinda kwenye maji kama chura kuzipata.Utajuaje? Why useme huna deni?
Mkuu magufuli hana undugu wowote na Doto Biteko. Labda kama unamfananisha Dotto Biteko na Dotto JamesKwa hiyo Magufuli hakupendelea chato ? Magufuli hakujaza watu wa kanda ya ziwa serikalini ? Magufuli hakumpaa uwaziri ndugu yake Dotto Biteko ?
Nashangaa mtanzania akimsifia rais wa kwanza kuanzisha standard ya kupasua nchi. JPM alianzisha kupendelea kwao chato maama akaendeleza na kizimkazi na unguja. JPM alijaza kanda ya ziwa serikalini tembelea wilayani uone wazanzibari walivyojaa. JPM aliweka binamu yake Biteko baraza la mawaziri mama kaweka mkwe Mchengerwa. Alichoanzisha JPM italicost taifa miaka 20-30 ijayo.
Mimi sio chawa hatuwezi kuendelea na kurekebisha hii nchi bila kuongelea JPM. Hata Polepole watu wameshamsahau kwa sababu hakuongelea chanzo cha matatizo. Watu wasiojulikana walianza kipindi cha JPM. Polepole angegusia mabaya yaliyotendwa kipindi alivyokuwa serikalini leo hii angekumbukwa. Ila Polepole hakugusia kwa sababu ya tumbo. Hii ndio kasumba tuliyo nayo kama nchi.Ujinga na uchawa tu unakusumbua JPM kashajifia zake ww bado unawashwa nae.....so baba yako akinya barabarani na wewe utakunya barabarani ?
Mkuu watu wasiojulikana walianza toka nyerere, mwinyi, mkapa, kikwete , magufuli na sasaMimi sio chawa hatuwezi kuendelea na kurekebisha hii nchi bila kuongelea JPM. Hata Polepole watu wameshamsahau kwa sababu hakuongelea chanzo cha matatizo. Watu wasiojulikana walianza kipindi cha JPM. Polepole angegusia mabaya yaliyotendwa kipindi alivyokuwa serikalini leo hii angekumbukwa. Ila Polepole hakugusia kwa sababu ya tumbo. Hii ndio kasumba tuliyo nayo kama nchi.
Nitajie watu walitekwa na kupotea kabla ya Magufuli.Mkuu watu wasiojulikana walianza toka nyerere, mwinyi, mkapa, kikwete , magufuli na sasa
Wakati wa magufuli ndio walizidi, lakini hawakuanzia hapo.
Mkuu wasiojulikana hufanya kazi ya kuteka na kupoteza, au pia kuua(jaribio la kuua).Nitajie watu walitekwa na kupotea kabla ya Magufuli.