Tetesi: Vigogo zaidi ya 20 kuitikisa CCM kabla ya 2020

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
1,577
Reaction score
1,702
Mnyetishaji anaseme kwa hali na mali matajiri wanaumia sana kwani wamebanwa kila njia wanaangalia nani wa kumuunga mkono agombee kwa njia yeyote Ile by 2020 basi inaonekana ndani ya CCM watajaribu nje,

Heko Rais Wetu shupavu kaba hapo hapo yaan usilegeze kaba walipe kodi,

Jina la mnyetishaji JM , anatokea idara nyeti, lakin Magufuli kalishtukia mapema sana hata wanaohamia CCM wanachunguzwa kabla, kuna watu wengi wanapenda kuhamia CCM wamekataliwa
 
Waambie watapiga sana push up hadi makalio yawe flattened sloped henzliced
IMG_20180804_095246.jpg

a e i o u
 
Mnyetishaji anaseme kwa hali na mali matajiri wanaumia sana kwani wamebanwa kila njia wanaangalia nani wa kumuunga mkono agombee kwa njia yeyote Ile by 2020 basi inaonekana ndani ya CCM watajaribu nje,

Heko Rais Wetu shupavu kaba hapo hapo yaan usilegeze kaba walipe kodi,

Jina la mnyetishaji JM , anatokea idara nyeti, lakin Magufuli kalishtukia mapema sana hata wanaohamia CCM wanachunguzwa kabla, kuna watu wengi wanapenda kuhamia CCM wamekataliwa
Mzee Baba kazana tu ipo siku utaulamba UDC.
 
Leo naona nyuzi za CCM kujilipua zimeanza ku-trend. Kunani huko chamani au ndio kuna wanaotafutwa? Walisema "Give a dog a bad name and hang it" Tulisha ambiwa ukiwa msaliti huta "survive", haufai kuishi. Kule Pemba tumemsikia katibu mkuu akiwaonya wanao payuka. Huko kusini tayari wako 17 na shangazi zao wanasubiri rungu wakati ukifika. Kana kwamba haitoshi Britannica karuka na Membe leo.
 
MsemajiUkweli ukweli yeye wiki chache zilizopita alisema kuna mbinu za makusudi zinafanyika kuiua cdm kama zilivyouliwa nccr na cuf kisha kitaletwa chama kingine na kitengo lakini lengo ni kulinda ccm. Huenda ndio mchezo unaanza kuchezwa, kwa hili tuwe makini.
 
Mnyetishaji anaseme kwa hali na mali matajiri wanaumia sana kwani wamebanwa kila njia wanaangalia nani wa kumuunga mkono agombee kwa njia yeyote Ile by 2020 basi inaonekana ndani ya CCM watajaribu nje,

Heko Rais Wetu shupavu kaba hapo hapo yaan usilegeze kaba walipe kodi,

Jina la mnyetishaji JM , anatokea idara nyeti, lakin Magufuli kalishtukia mapema sana hata wanaohamia CCM wanachunguzwa kabla, kuna watu wengi wanapenda kuhamia CCM wamekataliwa
JM atakuwa ni julius mtatiro
 
Leo naona nyuzi za CCM kujilipua zimeanza ku-trend. Kunani huko chamani au ndio kuna wanaotafutwa? Walisema "Give a dog a bad name and hang it" Tulisha ambiwa ukiwa msaliti huta "survive", haufai kuishi. Kule Pemba tumemsikia katibu mkuu akiwaonya wanao payuka. Huko kusini tayari wako 17 na shangazi zao wanasubiri rungu wakati ukifika. Kana kwamba haitoshi Britannica karuka na Membe leo.
Jikoni kunafukuta, mzimu wa chadema unawala.
 
Back
Top Bottom