Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,141
- 1,982
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mnakumbukumbu bana😀😀😀Waambie watapiga sana push up hadi makalio yawe flattened sloped henzlicedView attachment 842702
a e i o u
Mmeanza. Ndivyo mlivyowauzia CHADEMA mbuzi kwenye gunia..Waambie watapiga sana push up hadi makalio yawe flattened sloped henzlicedView attachment 842702
a e i o u
Mkuu upo? Longtime kitambo aisee!Mmeanza. Ndivyo mlivyowauzia CHADEMA mbuzi kwenye gunia..
Mnyetishaji anaseme kwa hali na mali matajiri wanaumia sana kwani wamebanwa kila njia wanaangalia nani wa kumuunga mkono agombee kwa njia yeyote Ile by 2020 basi inaonekana ndani ya CCM watajaribu nje,
Heko Rais Wetu shupavu kaba hapo hapo yaan usilegeze kaba walipe kodi,
Jina la mnyetishaji JM , anatokea idara nyeti, lakin Magufuli kalishtukia mapema sana hata wanaohamia CCM wanachunguzwa kabla, kuna watu wengi wanapenda kuhamia CCM wamekataliwa
FebruaryJM atakuwa ni julius mtatiro
HahahaMmeanza. Ndivyo mlivyowauzia CHADEMA mbuzi kwenye gunia..
Mkiamka hamna hela mnakuwa wajinga kweli kweli!Mnyetishaji anaseme kwa hali na mali matajiri wanaumia sana kwani wamebanwa kila njia wanaangalia nani wa kumuunga mkono agombee kwa njia yeyote Ile by 2020 basi inaonekana ndani ya CCM watajaribu nje,
Heko Rais Wetu shupavu kaba hapo hapo yaan usilegeze kaba walipe kodi,
Jina la mnyetishaji JM , anatokea idara nyeti, lakin Magufuli kalishtukia mapema sana hata wanaohamia CCM wanachunguzwa kabla, kuna watu wengi wanapenda kuhamia CCM wamekataliwa
Unacheka au umekanyaga kaa la moto? Hivini binadamu wa aina gani wewe unayefurahia kufukarishwa? Unaijua trilioni moja na nusu inatosha kukufanyia nini katika maisha yako na ukoo wako? Sema unaumia sana kuliko wale wanaolia kwa sauti maanake tangu abane umekuwa mtu wa shida mingi huenda hata mkeo kakukimbia kwani huna mbinu za kurindima na midundo mipya ya unayemsifu! Kazana kupiga miayo!Hahaha
Kumekucha...jogoo kapoteza majira sasa anawika saa 4 usikuLeo naona nyuzi za CCM kujilipua zimeanza ku-trend. Kunani huko chamani au ndio kuna wanaotafutwa? Walisema "Give a dog a bad name and hang it" Tulisha ambiwa ukiwa msaliti huta "survive", haufai kuishi. Kule Pemba tumemsikia katibu mkuu akiwaonya wanao payuka. Huko kusini tayari wako 17 na shangazi zao wanasubiri rungu wakati ukifika. Kana kwamba haitoshi Britannica karuka na Membe leo.
Ulikuwa unkimbizwa wakati unaandika?hata havieleweki.Mnyetishaji anaseme kwa hali na mali matajiri wanaumia sana kwani wamebanwa kila njia wanaangalia nani wa kumuunga mkono agombee kwa njia yeyote Ile by 2020 basi inaonekana ndani ya CCM watajaribu nje,
Heko Rais Wetu shupavu kaba hapo hapo yaan usilegeze kaba walipe kodi,
Jina la mnyetishaji JM , anatokea idara nyeti, lakin Magufuli kalishtukia mapema sana hata wanaohamia CCM wanachunguzwa kabla, kuna watu wengi wanapenda kuhamia CCM wamekataliwa
Kwani ni cha nani? Kile cha marehemu sitta??Hakuna vijana waliojiona wana hati miliki na ccm kama Mwigulu na Nape walijisahau sana na bado hadi 2020 tutajua tu. Hivi cck kilikufaga kile chama?
Hueleweki umelenga kitu gani .Mnyetishaji anaseme kwa hali na mali matajiri wanaumia sana kwani wamebanwa kila njia wanaangalia nani wa kumuunga mkono agombee kwa njia yeyote Ile by 2020 basi inaonekana ndani ya CCM watajaribu nje,
Heko Rais Wetu shupavu kaba hapo hapo yaan usilegeze kaba walipe kodi,
Jina la mnyetishaji JM , anatokea idara nyeti, lakin Magufuli kalishtukia mapema sana hata wanaohamia CCM wanachunguzwa kabla, kuna watu wengi wanapenda kuhamia CCM wamekataliwa
Mkuu una maana gani hapa ?Tangu lini mhutu akampenda Mtanzania
Hapo Jiwe utadhani Repa wa FM Academia,Ngwasuma, na kina Mwigulu ndio stage shows😂😂😂😂Waambie watapiga sana push up hadi makalio yawe flattened sloped henzlicedView attachment 842702
a e i o u
Murkowski huyo naye hana informations za kutoshaMnyetishaji anaseme kwa hali na mali matajiri wanaumia sana kwani wamebanwa kila njia wanaangalia nani wa kumuunga mkono agombee kwa njia yeyote Ile by 2020 basi inaonekana ndani ya CCM watajaribu nje,
Heko Rais Wetu shupavu kaba hapo hapo yaan usilegeze kaba walipe kodi,
Jina la mnyetishaji JM , anatokea idara nyeti, lakin Magufuli kalishtukia mapema sana hata wanaohamia CCM wanachunguzwa kabla, kuna watu wengi wanapenda kuhamia CCM wamekataliwa
Namaana anaejidai mzalendo mkubwa ni mhutu hawezi kua na mapenzi nasi kabisaMkuu una maana gani hapa ?