Tetesi: Vigogo zaidi ya 20 kuitikisa CCM kabla ya 2020

Mnyetishaji anaseme kwa hali na mali matajiri wanaumia sana kwani wamebanwa kila njia wanaangalia nani wa kumuunga mkono agombee kwa njia yeyote Ile by 2020 basi inaonekana ndani ya CCM watajaribu nje,

Heko Rais Wetu shupavu kaba hapo hapo yaan usilegeze kaba walipe kodi,

Jina la mnyetishaji JM , anatokea idara nyeti, lakin Magufuli kalishtukia mapema sana hata wanaohamia CCM wanachunguzwa kabla, kuna watu wengi wanapenda kuhamia CCM wamekataliwa

Julius Mtatiro
 
Wanadhani kupokonya dola ni kazi nyepesi? mtikisiko wake hauvumiliki, huyo wayemundaa mjiandae naye msije mkakimbia mtikisiko
 
Umugabe is loading, nani wa kupora funguo za kuzimu?
Wanadhani kupokonya dola ni kazi nyepesi? mtikisiko wake hauvumiliki, huyo wayemundaa mjiandae naye msije mkakimbia mtikisiko
 
Ukiwa mgeni humu JF unaweza kufikiri hili ni bonge la thread. Kumbe ni fabrications za kila siku za vijana wa Ufipa!
 
Back
Top Bottom