Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,702
Duuh! Hatari sana, huyu mkimbizi aliwatesa sana wagombea ubunge kupitia ccm.Waambie watapiga sana push up hadi makalio yawe flattened sloped henzlicedView attachment 842702
a e i o u
Mi niliona dalili mapema za tunakoenda ...2020 wajiandae kufanya boxing kwenye hadhara hashindwi kitu huyu bwanaDuuh! Hatari sana, huyu mkimbizi aliwatesa sana wagombea ubunge kupitia ccm.
Namuona nyalandu anapiga push upWaambie watapiga sana push up hadi makalio yawe flattened sloped henzlicedView attachment 842702
a e i o u
Ni shida sana mkuu hawa wanasiasa sijawah na sitokuja amin kiumbe kinaotwa politishaniNamuona nyalandu anapiga push up
Mzee Baba kazana tu ipo siku utaulamba UDC.Mnyetishaji anaseme kwa hali na mali matajiri wanaumia sana kwani wamebanwa kila njia wanaangalia nani wa kumuunga mkono agombee kwa njia yeyote Ile by 2020 basi inaonekana ndani ya CCM watajaribu nje,
Heko Rais Wetu shupavu kaba hapo hapo yaan usilegeze kaba walipe kodi,
Jina la mnyetishaji JM , anatokea idara nyeti, lakin Magufuli kalishtukia mapema sana hata wanaohamia CCM wanachunguzwa kabla, kuna watu wengi wanapenda kuhamia CCM wamekataliwa
Leo naona nyuzi za CCM kujilipua zimeanza ku-trend. Kunani huko chamani au ndio kuna wanaotafutwa? Walisema "Give a dog a bad name and hang it" Tulisha ambiwa ukiwa msaliti huta "survive", haufai kuishi. Kule Pemba tumemsikia katibu mkuu akiwaonya wanao payuka. Huko kusini tayari wako 17 na shangazi zao wanasubiri rungu wakati ukifika. Kana kwamba haitoshi Britannica karuka na Membe leo.
JM atakuwa ni julius mtatiroMnyetishaji anaseme kwa hali na mali matajiri wanaumia sana kwani wamebanwa kila njia wanaangalia nani wa kumuunga mkono agombee kwa njia yeyote Ile by 2020 basi inaonekana ndani ya CCM watajaribu nje,
Heko Rais Wetu shupavu kaba hapo hapo yaan usilegeze kaba walipe kodi,
Jina la mnyetishaji JM , anatokea idara nyeti, lakin Magufuli kalishtukia mapema sana hata wanaohamia CCM wanachunguzwa kabla, kuna watu wengi wanapenda kuhamia CCM wamekataliwa
Jikoni kunafukuta, mzimu wa chadema unawala.Leo naona nyuzi za CCM kujilipua zimeanza ku-trend. Kunani huko chamani au ndio kuna wanaotafutwa? Walisema "Give a dog a bad name and hang it" Tulisha ambiwa ukiwa msaliti huta "survive", haufai kuishi. Kule Pemba tumemsikia katibu mkuu akiwaonya wanao payuka. Huko kusini tayari wako 17 na shangazi zao wanasubiri rungu wakati ukifika. Kana kwamba haitoshi Britannica karuka na Membe leo.
au mwezi wa kwanza makambaJM atakuwa ni julius mtatiro
Jamaa akawapigisha push-upWaambie watapiga sana push up hadi makalio yawe flattened sloped henzlicedView attachment 842702
a e i o u