Vihoja Chumba cha mtihani

Vihoja Chumba cha mtihani

Dah nimekumbuka zama zile nasoma kwa kuzima moto ili nikafanye paper .

Nilikuwa natusua sana ila ukweli nilikuwa sisomi mno lakini shingo yangu na macho vilikuwa active sana mpaka raha .

Rest in peace Engineer kajuni ulinibeba sana mwamba
 
Back
Top Bottom