Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Hapana sijawahi kuweka picha yake......utakuwa uliangalia vibayaNiliona kama uliweka picha ya gadafi halafu umebadilisha na kuweka iliyopo sasa. Au nlitazama vibaya?
Samahan mkuuHapana sijawahi kuweka picha yake......utakuwa uliangalia vibaya
Huu ni uchokoz dhahiri.Ndio maana King Msukuma shule ilimshinda
Huko lazima utoboe. Ndo uzur wa private, wanatoa elimu inayolingana na thaman ya hela yako. Umaskini unatufanya tubaki gvt, ubababaishaji mwingi kuliko uji wa shule ya msingi.Nilifeli sheikh.nikaenda private
Kofia Huuzwa Dukani Mwa daudi Shilingi Mia. hahahaaaa!! Metric systemKofia Huuzwa Dukani Mwa Daudi sijui nini nini uko mbele nmesahau
Hahaaa si mchezo mkuu.Kofia Huuzwa Dukani Mwa daudi Shilingi Mia. hahahaaaa!! Metric system
Tafuta CV yake kwny website ya bunge.Huu ni uchokoz dhahiri.
Bila samahani....it's okaySamahan mkuu