Vihoja vya mitihani ya Shule ya msingi.

Vihoja vya mitihani ya Shule ya msingi.

Kofia Huuzwa Dukani Mwa Daudi sijui nini nini uko mbele nmesahau
 
Iko tofauti ya hesabu na hisabati.
Hesabu ni zile za 1 - 1, 3 x 4 n.k
Hisabati ndo hapo kwenye maumbo, kigawe kikubwa cha shirika (sijui shirika lenyewe ndo hili la tanesco?)
Kipenyo mara, sijui manini nini huko aaaghh! Taabu tupu.
Form two napo kuna log! Mayaweeee, kale kakitabu ndo hata sikuwaga nakaelewa kabisaaaaaa
 
Dah... maumbo nilikua nakosa hata nikipiga chabo kwanza nilikua napita kama katika mtihani hayapo... namba acha kabisa
Sipati picha paper inakuwa la mambo matupu[emoji3] [emoji3] watu mngetoka empy
 
Mkuu huo ndo ujanja ambao wengi tulifanya. Zinakugonga namba tunamalizana kwenye masomo mengine hadi mraba unatoboka.
Sure mkuu,ukijua udhaifu wako, basi tafuta pa kufidia kuficha aibu
 
Tafuta CV yake kwny website ya bunge.
Eti madereva wa serikali wawe na elimu ya kidato cha nne ila wabunge kama kina msukuma wawe na elimu ya primary
Mlinganyo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom