Huu mchakato upo miaka mingi tu SUA kwa miaka karibia 10 sasa wanapeleka wanafunzi Israel katika hii programhawa vijana wamepatikanaje? tunataka mchakato uliotumika tuuone waziwazi. Kwa haya ya DP World na mengine yanavyoendelea nchini bila aibu unaweza kukuta vijana hao wote ni watoto wa makada wa CCM.
Ni kweli kabisa ila kupitia huu mradi naona hakuna la ziada zaidi ya wahusika kujitengenezea kipato huko ughaibuni kwa kufanya vibarua kama manamba, na wakirudi wanakuja kufungua biashara zingine kabisa tofauti na kilimo.Huu mchakato upo miaka mingi tu SUA kwa miaka karibia 10 sasa wanapeleka wanafunzi Israel katika hii program
Hahahaha kumbe ushashtukia mchongo..Ni kweli kabisa ila kupitia huu mradi naona hakuna la ziada zaidi ya wahusika kujitengenezea kipato huko ughaibuni kwa kufanya vibarua kama manamba, na wakirudi wanakuja kufungua biashara zingine kabisa tofauti na kilimo.
Mzee kule hakuna kigogo atapeleka mwanae kule ni kazi kwa kwenda mbele, jambo likiongelewa na viongozi linapambwa mno ila kiuhalisa hao vijana wanaenda kupiga vibarua Israel kama cheap labour.Ni hatua nzuri naipongeza ila mchakato wa kuwapata hao vijana umefanyika kwa siri sana na wasiwasi wangu je umewapeleka vijana wa watoto wa wakulima au vijana wa upanga,masaki na osterbay maana fursa zinapotokea kuna watu huzitumia kunufaisha wao na jamaa zao inawezekana kijana wa songea,morogoro,arusha,tanga na kwengineko kwa wakulima hasa hawakujua kama kulikuwa na hii fursa, wangepata nafasi hii adimu ingewasaidia sana tunaomba fursa kama hizi zitangazwe zinapotokea sio tutangaziwe wakati vijana wako mawinguni
Ondoa shaka kuhusu hilo hata watoto wamakapuku wanaenda. SUA kule wanawabeba tu kutokana na idadi inayohitajika.Ni hatua nzuri naipongeza ila mchakato wa kuwapata hao vijana umefanyika kwa siri sana na wasiwasi wangu je umewapeleka vijana wa watoto wa wakulima au vijana wa upanga,masaki na osterbay maana fursa zinapotokea kuna watu huzitumia kunufaisha wao na jamaa zao inawezekana kijana wa songea,morogoro,arusha,tanga na kwengineko kwa wakulima hasa hawakujua kama kulikuwa na hii fursa, wangepata nafasi hii adimu ingewasaidia sana tunaomba fursa kama hizi zitangazwe zinapotokea sio tutangaziwe wakati vijana wako mawinguni
Umeniita, tatizo nini?Yani wakirudi kilimo chetu kitakuwa na mibaraka tele.
Kikwajuni One adriz Mufti kuku The Infinity Accumen Mo Adiosamigo STRUGGLE MAN Bwana Utam The Boss na mama lao FaizaFoxy
Kilimo mpaka Israel? au nichanganye na zangu?
Basi watakuwa undercover agent wanaenda kunolewaKilimo mpaka Israel? au nichanganye na zangu?
najaribu kukukumbusha tu, hawa ndio vijana waliokamatwa na hamas. una lipi la kusema hapo.Wavaa "kobazi" nq ahijab, mama samia na Hussein Bashe wapewe maua yao kwa BBT.
Mtawakubali tu mkitaka msitake.
Pitia vizutri uzi, umedandia kwa mbele.najaribu kukukumbusha tu, hawa ndio vijana waliokamatwa na hamas. una lipi la kusema hapo.
We jamaa unateseka kweli, Kwani Hamas walikua wanauliza Utaifa.najaribu kukukumbusha tu, hawa ndio vijana waliokamatwa na hamas. una lipi la kusema hapo.
kwanini nisiteseke wakati kuna vijana wa Tanzania wametekwa? wewe inakuwaje huteseki?We jamaa unateseka kweli, Kwani Hamas walikua wanauliza Utaifa.