Ni hatua nzuri naipongeza ila mchakato wa kuwapata hao vijana umefanyika kwa siri sana na wasiwasi wangu je umewapeleka vijana wa watoto wa wakulima au vijana wa upanga,masaki na osterbay maana fursa zinapotokea kuna watu huzitumia kunufaisha wao na jamaa zao inawezekana kijana wa songea,morogoro,arusha,tanga na kwengineko kwa wakulima hasa hawakujua kama kulikuwa na hii fursa, wangepata nafasi hii adimu ingewasaidia sana tunaomba fursa kama hizi zitangazwe zinapotokea sio tutangaziwe wakati vijana wako mawinguni